Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Tarehe ya mwisho kulipwa mshahara, as long as ililipwa kabla ya mwisho wa huo mwezi, ni irrelevant katika mazungumzo ya mshahara wa mwezi huu.
Kama ni kosa basi serikali ndio ilikosea kwa kulipa, hilo sio kosa la wafanyakazi, wao wamefanya kazi kwa siku 30 wanastahili ujira wao.
 
Kama ni kosa basi serikali ndio ilikosea kwa kulipa, hilo sio kosa la wafanyakazi, wao wamefanya kazi kwa siku 30 wanastahili ujira wao.
Kwani wapi nimesema ni kosa?

Mshahara wa June, siku 30 za June hazijamalizika, unasemaje wafanyakazi wamefanya kazi kwa siku 30?
 
Mshahara ki sheria ni 30th ya mwezi husika, kukupa 25th ni kukusaidia aka hisani ya serikali.
Kuwa mtulivu.
 
Kupata kazi ni kazi kama kukosa kazi
 
Watoe hata tar 32 maana mkiona wengine wanakomeshwa ninyi wa mshahara mnajionaga mko salama
 
Standing Order of Public Servants 2009..(Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma 2009) kanuni Namba E.4
 
Hahaha. Sawa ila ujue mimi ni wakili mwenye uzoefu wa miaka 12. Yes sina hela.

Hizo technicality za birthday na birthdate ni upuuzi tu.

Mtulipe
 
Acha ujinga wewe, Kuwa na adabu kama una ugonjwa wa akili wahi Mirembe chap.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Vijana kama Hawa wana mchango mdogo sana katika taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…