Enock gabriel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2021
- 348
- 321
So painful!Aisee inauma sana! Ukichukulia most of the graduates wanatokea kwenye familia maskini! Wanatakiwa wawe watulivu sana katika hiki kipindi kigumu wanachopitia.
Waombaji elfu 90 halafu wanaotakiwa ni elfu 7 kasoro, hakika waombaji walitakiwa kujiandaa kisaikolojia. Yameshatokea! Wanatakiwa waingie tu mtaani kwa ajili ya mapambano dhidi ya maisha.
Hahahahah acha uongoSorry bana, ila nawachana tuu haoo hkl wanaonyata kitaa na suti & tai hawawez endesha hata boda et it is too risk afu wana na engineering zao wana hustle kitaaa hata kama kaz n ya kuchafuka na oil[emoji23][emoji23][emoji23]
Samahani, ulisomea career gani?MI NAONA SHIDA SIO MAGUFULI MIAKA YA NYUMA ATA WANAOMALIZA DARASA LA SABA KUINGFIA FORM 1 UNAKUTA SHULE NZIMA WATU ISHIRINI SASA SAIV ANAFELI MTU MMJA KUINGIA FORM 1 NAPO UYO AKUENDA KWENYE MTIANI,IVYO KUFIKA MWAKA 2013 NAKUMBUKA NILIKUA SANGU SECONDARY FORM 5 NAANZA WAHITIMU WALISHAKUA WENGI SANA IVYO KUFIKA 2015 HALI ILIKUA TETE TUNAKUJA KUMALIZA 2018 CHUO NDIO HALI MBAYA ZAIDI ,SOLUTION NI KUPUNGUZA WATU WANAINGIA FORM 1 NK NAPO NI NGUMU MANA WANAKUA WADOGO SANA IVYO KUENDELEA KUKUA KIAKILI WAKIFIKA 4M4 AFADHALI... DAWA NI KUFUNDISHA MASOMO YA KUJITEGEMEA NA WANAOTAKIWA KUWA WATUMISHI WA SELIKALI WAWE WANABANWA SANA KWENYE UFAULU.NADHANI NDIO SOLUTION.NA SISI TULIOMALIZA CHUO KIKUU MPKA SAIV MTU UNAMIAKA M3 AU ZAIDI MTAANI UNAWAZAJE AJIRA .TUPAMBANE MAZEEE,TUPAMBANE NDIO DAWA IYO .WENGINE ATA VYETI ATUJACHUKUA TUPO TOWN TUNAKOMAA TU NA ATUJATOKA FAMILIA NZURI
Utataka wasome kozi gani?Mimi wanangu sitowaruhusu kusoma kozi za kiduwanzi hivyo, unesi, ualimu sijui utabibu.
Utataka wasome kozi gani?Mimi wanangu sitowaruhusu kusoma kozi za kiduwanzi hivyo, unesi, ualimu sijui utabibu.
Sio lazima uwe tajiri ndipo uwazuie wanao kusoma kozi tajwa, hata ukiwa masikini unaweza kufanya hivyo. Badilisha mtazamo wako.Tatizo wote hatuwezi kua matajiri kama wewe,mnajifaragua tu hapa JF
Hizo nafasi zilitekwa na watu wa ccm wakaanza kuingza watu wao kigezo, walichotumia kuteka nafasi hizo ni neno kujitolea hapo ndo walipomzunguka mama yetu raisNimejisikia kukata tamaa sana, haiwezekani mtu umehitimu 2016 unaachwa wanakuja kuajiliwa watu wa 2018 wakati hata vigezo hakuzidi nyote mna vyeti nyote mmefaulu,
uchambuzi gani huo uchaambuzi uchwara mlioutumia?
Magufuli ulaaniwe popote pale ulipo wewe ndiye chanzo, mbona Kikwete alikua anaajiri waalimu wote waliohitimu?
sikupendi magufuli na hata sitakupenda umetutia umaskini mtupu
kwanini kigezo kisiwe mwaka wa kuhitimu? wajjiri 2015 wakiisha wafate 2016 wakiisha wafate 2017
upuuzi mtupu endeleeni kuneemeka sisis tusote mtaani bhana
Wasome kozi za hela,Utataka wasome kozi gani?
Wewe ulisoma kozi gani?
Mkuu umeongea point sana , yaan vigezo Vya kufauru kuanzia form 4 Mpk chuo kikuu vilitakiwa viongezwe, ili watu wengine waende kusoma ufundi na kufanya mambo mengne wanao fika chuo wawe wasomi kwel kwel .Kwa upande wa ajira Magufuli alifanya makosa ila bado tu ukosefu wa ajira wa kiwango cha juu usingeepukika hata kama Kikwete angeendelea mpaka sasa. Ukweli ni kuwa graduates wanaongeza kwa wingi kuliko nafasi za ajira, hivyo tutegemee kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo hali itakavyozidi kuwa ngumu. Tatizo mimi naona lilifanyika miaka ya nyuma. Tuliamua kuongeza shule na vyuo bila kujali vigezo vya kuongeza na matokeo yake wahitimu wengi ni chini ya kiwango kwa kuajiriwa au hata kujiajiri. Matatatizo ya ajira yalishatengezwa tangu tawala za nyuma, Magufuli alilipukiwa tu na bomu ambalo hakulitengeneza.
Duuuh....π²π€£Mimi wanangu sitowaruhusu kusoma kozi za kiduwanzi hivyo, unesi, ualimu sijui utabibu.
Mkuu ujue unawaumiza madogo....Kumbe kuchagua kozi ya kusoma kunahitaji akili nako. Basi kama kunahitaji akili, wewe uliyechagua kusoma kozi ya wito ya mshahara wa laki tano ndio hazipo timamu. πππππππ
Umeorodhesha kozi nyingi hapo juu....Wasome kozi za hela,
Finance,
Accounting,
Business Administration,.
Economics,
Commerce,
Science zenye hela,
Engineering zenye hela,
Yani huyu bwege ameniudhi kweli,eti anasema elimu aliyopata ndio mtaji wake,hakuna bank inakopesha MTU fresh from chuo.Ingekuwa ni rahisi kama unavyoandika hapa basi kila mtu angekimbilia huko
Labda kama una shamba LA kurithi,na uwe na nvua yako ya private.Acha ujinga,linakuchefua wakati hapo juu umelitaja.Kafanye kilimo ndugu.
Pole sana mkuu. Hii ndio Tanzania ilipofikia. Wanaajiri wanavyotaka wao. Naona walimu wengi wa sayansi wanekula shavu.Nimejisikia kukata tamaa sana, haiwezekani mtu umehitimu 2016 unaachwa wanakuja kuajiliwa watu wa 2018 wakati hata vigezo hakuzidi nyote mna vyeti nyote mmefaulu,
uchambuzi gani huo uchaambuzi uchwara mlioutumia?
Magufuli ulaaniwe popote pale ulipo wewe ndiye chanzo, mbona Kikwete alikua anaajiri waalimu wote waliohitimu?
sikupendi magufuli na hata sitakupenda umetutia umaskini mtupu
kwanini kigezo kisiwe mwaka wa kuhitimu? wajjiri 2015 wakiisha wafate 2016 wakiisha wafate 2017
upuuzi mtupu endeleeni kuneemeka sisis tusote mtaani bhana
AhΓ ahaa kweli nimecheka sana,Ila kuna watu mlimpenda magu aisee,acha nikunon'goneze watu wasisikie tukabambikiwa kesi ya kina sioi summary,Magu katika marais waliopita ndio Rais fala kuliko wote waliopita.Una mimba?