Nimechukua mkopo benki, naomba ushauri katika namna niliyopanga kuutumia

Umeongea point sana mkuu
 
Kampuni gan nzuri ya kuagiza gar?
 
Bora we umemweleza ukweli, matumizi ya mkopo utaona faida yake kama utaingiza kwenye biashara na sio loose assets km Magari nk
 
Mkuu, hii inawezekana kwa taasisi ipi ya kifedha?kwa take home ya laki 6 upate mkopo wa 30m marejesho ndani ya miaka4-6. Tujuzane mkuu
 
Kuna watu ni mitambo unajua, yani ushakua mkopo alafu unataka ushauri tena!!!!
ongeza mke wa pili
 
Huyu atakua mwanajeshi, maana wanajeshi na mapolisi kwa mikopo nawanyooshea mikono
 
SAWA ILA TUMIA MKOPO KWENYE VITEGA UCHUMI ZAIDI, UTANISHUKURU BAADAE
Ninacho kitega uchumi tayari.. alaf mkopo kupeleke ktk kitega uchumi what if ukapata loss maana sasa hiv business ngumu
 
Bora we umemweleza ukweli, matumizi ya mkopo utaona faida yake kama utaingiza kwenye biashara na sio loose assets km Magari nk
Biashara ina mambo mawili profit and loss what if ukipata loss?na hali yenyew ya uchumi sasahv ilivo mbaya
 
Chukua Premio model ya kati....Milion 12 japan....yenye CC 1450 na sio 1780....itakufaa...ina nafas...tofaut na IST.....then malizia mjengo baba...usifungue biashara kama hutosimamia wewe au mke wako...achana na ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…