Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kubaliana tu na hali ndio uendelee kumtafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuwa na Rafiki wa milele wala adui wa milele, am sure huwezi kumkosa hata mmoja kati ya walioshiriki, tafuta mbongo mmoja unayehisi amekula nae njama mtie ndani mpe tu askari buku 5, jamaa ataeleza yote na ziada juu na kibongo bongo unaeza kukuta wanawasiliana bado.....Huyu na wale wabongo wengine waliniwai walikula njama, ni kipindi ambacho tunaanda bills na mie kuchomoka kidogo tu ndio chance wakapata hapo na nilichomoka ndani ya masaa 24 tu.
Mtalaam mwenyewe wa milima ya uoateni huyoo....Tuwasiliane
PI unataka kuingia kaziniNipe tender ya kumtafuta.
Malipo ni milioni 2 tukifanikiwa.
Nipe taarifa kamili inbox
Majina yake kamili na picha zake
Fuata huo huo ushauri.Huwezi kuwa na Rafiki wa milele wala adui wa milele, am sure huwezi kumkosa hata mmoja kati ya walioshiriki, tafuta mbongo mmoja unayehisi amekula nae njama mtie ndani mpe tu askari buku 5, jamaa ataeleza yote na ziada juu na kibongo bongo unaeza kukuta wanawasiliana bado.....
Nashangaa, wachawi wote waliojaa tena hawako bize kiviiile yeye hawatafuti unakuja kulialia hapa.Mtumie radi mkuu
Alikua ni kijana wa gheto tu maana alifukuzwa kazi akashuka sanaa kiuchumi na hii project ndio ilimpa walau nafasi ya pili, anapokaa nilifika na vitu alivyoviacha thamani yake haizidi au haifiki milioni moja.
Mkuu nimekuja PMTuwasiliane
666 chata nimekuita lakini hujaitika.PI unataka kuingia kazini
Sawa... Ila ndo apatwe na hayo matatizo baada ya kupokea pesa?Mkuu kwa kua hujajua bado kilichompata huyo rafiki wako naomba tuliza kwanza moyo.....huwezi jua,labda anaumwa,amekufa,amepata matatizo,ameibiwa hizo hela,ameuguliwa,amefiwa etc......kwa nini tu uje na hypothesis moja tu......
Lakini kitu nachoshangaa na kukuona wewe ni MJINGA,utakuaje na rafiki ambaye hujui anapoishi,hujui wazazi wake,ndugu,jamaa na marafiki....narudia tena wewe ni MJINGA
Siku hizi mumeanza kumpangia mungu muda wa kutokea matatizo?Sawa... Ila ndo apatwe na hayo matatizo baada ya kupokea pesa?
Kama una amini Mungu anapanga kila hatua na kila tukio katika maisha yako wewe kazi yako katika haya maisha ni nini?Siku hizi mumeanza kumpangia mungu muda wa kutokea matatizo?