humility21
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 448
- 622
Pole sana mkuu. Ulifanya vyema kusamehe japo inauma. Pesa ya dhulma huwa haina manufaa. Ona sasa hiko kiasi cha pesa ni kikubwa sana lakini hakikumsogeza jamaa popote sana sana itakuwa aliitumia kwa starehe.Pole sana Mkuu issue km hii ilinitokea mimi aliondoka na mil 30, nilimtafuta nikampata nikamwambia nipe changu akagoma, nilipiga moyo konde japo kwa maumivu makali sana nikasamehe, hauwezi amini jamaa sasa hivi ni amechoka vibaya mno hana kitu leo ananiomba mia tano ya nauli, maisha haya acheni tu kutapeliwa na mtu wa karibu kunauma kinoma, unakuwa unajiuliza kwanini huyu anifanyie hivi ila ndo imeshatokea, piga moyo konde samehe km unaweza kubali umepoteza tu utapata amani ya nafsi kuendelea kuwaza utaumiza afya yako.