Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

kama ni kweli basi Wazanzibar wana nia ovu na nchi yetu
 


Mpaka atokee MAGU mwingine ndio tutajua na vilivyo jificha! Kuna watu hawana aibu kabisa! Hivyo hiyo ya bandari ndio wamei select kuionyesha kwa wananchi kua ndio ina afadhali
 
#) tu? Mbona umelala wewe. hizo za Dubai tu, bado hujasema za Oman. Kia si unaona management imeshaanza kufanya mambo yake pale, maduka bado?

Bado za Saudu Arabia.

Bado za Qatar.
Bado za Kuwait.

Za Algeria tayari umeziona?


Watu tunaongelea MoU kama 200 za nchi za Kiarabu, wewe uko wapi n hivyo vi 30 vyako?
 
Watu wanajiuliza sababu ya kufichwa ni zipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…