Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

Wanao pinga huu uwekezaji wengi ni wapiga dili bandarini so wanajua muwekezaji akiingia mianya yote itazibwa…

Watu wanapiga sana pale hasa wafanyakazi wa bandari!
 
Wanao pinga huu uwekezaji wengi ni wapiga dili bandarini so wanajua muwekezaji akiingia mianya yote itazibwa…

Watu wanapiga sana pale hasa wafanyakazi wa bandari!
Akili za kinafiki na kijinga za kitanzania. Tunayaongea maendeleo wakati wa kunywa bia za jioni na kupiga stori za kupitisha wakati lakini kivitendo hatuna ujasiri wa kweli wa kuyatafuta.

Ni nchi moja imejaa washenzi wa kila aina. Kuna hawa wanaomfanyia fitina Rais SSH wakisahau kuwa malipo ya dhambi ya ubaguzi yapo hapa hapa chini ya jua, hausubiriwi ufe ndio ukutane na adhabu.
 
Wanao pinga huu uwekezaji wengi ni wapiga dili bandarini so wanajua muwekezaji akiingia mianya yote itazibwa…

Watu wanapiga sana pale hasa wafanyakazi wa bandari!
Hoja juu ya vipengele vya mkataba vinavyoiuza Tanganyika viondolewe
 
Mnateseka nyie.
Yaani sasa hamna tena mnalowaza, ni bandari tu as if za kwenu.
 
Kilichobaki ni kumuibia Muarabu mpaka awaambie CCM nimekoma kuwekeza, Hivi hajui tukienda Sumbawanga kwa wazee tunaweza kuiba mpaka Meli? Hawatujui hawa ngoja wakutane na Vibaka wazoefu waone kama watafikia hata lengo moja.
Bora wewe unaonekana una la kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…