Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

kutambua mchango wao ndo kuwacha wanakufa njaa ?
 
lin wataanza kuthaminiwa kama hamtaki mapungufu yao hamtak watu wayaseme , ni aibu kazi ya ualimu ni kwa wale walioferi na ndio maana wanalipwa kiduchu
walioferi unamaanisha nini??
 
kuwaheshimu ni kuficha matatizo yao ili yasitatuliwe?
Walimu kushangaa subaru ndiyo matatizo ya walimu? Na hiyo ndiyo namna ya kufichua matatizo ya walimu??
Hapana walimu waheshimiwe
 
Maisha hayana mwenyewe usitukane mamba angali hujavuka mto na nidhamu ya mdomo na matamshi yako ni silaha kubwa sana kwa mwanaume …. Chunga sana kupitia hii thread nadhani ushajitathmini hulka yako ya ushindanishi na upumbavu
 
Subaru Forester ni vigari ya watu wa kipato cha chini hata walimu wanaweza kuwa nayo, kwa hiyo mko level moja nao. Ni vipao mbele tu. Acha majivuno na ushamba wa magari, hiyo sio gari ya kuringishia watu. Tafuta hela ununua chuna ya maana.
 
Mpwayungu umebadilisha ID. Duniani watu hawafanani. Kuna matajiri na masikini. Universal nature ndivyo ilivyo. Serikali ndiyo inayotesa walimu. Wachache wanapewa posho (walimu wakuu), walimu wengine hawapewi. Kosa ni la SERIKALI
 
Umeenda kwenye kikao cha shule...tena cha walimu wakuu...wewe ukiwa kama nani??? Je siyo miongoni mwa hao walimu ?

Hizi gari mnazonunua kwa pesa za urithi ndo zinawapa viburi.
 
WALIMU WA JF TUNAONEWA SANA
 
Mwenzako mpwayungu alitaka kumalizia stress zake kwa walimu,alikutana na pin mpaka akatamani bora angezaliwa mwanamke.Na mpaka sasa vita imemshinda
 
Subaru Forester ni vigari ya watu wa kipato cha chini hata walimu wanaweza kuwa nayo, kwa hiyo mko level moja nao. Ni vipao mbele tu. Acha majivuno na ushamba wa magari, hiyo sio gari ya kuringishia watu. Tafuta hela ununua chuna ya maana.
Mi kule juu nilikambia kaache kuropokwa hivyo kaache ligi za kijinga.Na nilitaka kajibu ili tuweke bond kaone watu wanamiliki magari gani
 
Mtoa mada ni Mshamba sana

Kwanza Walimu wenyewe sikuhizi karibu wote wana magari tena mazuri tu

Walikushangaa kwa kukuona Mshamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…