OPNi mpumbavu tu huyu Edsger wybe Dijkstra ,masikini aliyepata hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OPNi mpumbavu tu huyu Edsger wybe Dijkstra ,masikini aliyepata hela
kutambua mchango wao ndo kuwacha wanakufa njaa ?matusi ya waja baada ya kuvushwa mto na walimu dah [emoji205]
tunasahau kabisa mchango wa hawa watu kwenye msingi wa maisha yetu, ufahamu, uelewa na mafanikio tulonayo sasaivi [emoji205]
ni vizuri kuwa watu wa shukran na waungwana kwa walimu regardless hali zao. Lakini wametoa tongotongo mpka upo hapo leo[emoji205]
kuwaheshimu ni kuwaacha wafe maskini ?Dah..Mimi sio mwalimu ila hizi ni dharau kwa walimu wako ujue..ila poa
OPSema "gari used" hata 40m haifiki. Ila XT brand new 2024 ni zaidi ya $35,000.
Bahati mbaya sisi ni wateja wa used, tunajua tako la nyani ni 30m, kumbeee!
OPWasukuma bwana! [emoji23][emoji23]
Mmekutana wote.
Nimesoma hii reply nikapata majibu ya maswali yangu.Magari ya walimu? Wayatoe wapi! Niletee mwalimu anaemiliki gari ata ya 20m nikupe mara mbili ya hiyo
walioferi unamaanisha nini??lin wataanza kuthaminiwa kama hamtaki mapungufu yao hamtak watu wayaseme , ni aibu kazi ya ualimu ni kwa wale walioferi na ndio maana wanalipwa kiduchu
Walimu kushangaa subaru ndiyo matatizo ya walimu? Na hiyo ndiyo namna ya kufichua matatizo ya walimu??kuwaheshimu ni kuficha matatizo yao ili yasitatuliwe?
Maisha hayana mwenyewe usitukane mamba angali hujavuka mto na nidhamu ya mdomo na matamshi yako ni silaha kubwa sana kwa mwanaume …. Chunga sana kupitia hii thread nadhani ushajitathmini hulka yako ya ushindanishi na upumbavuJuzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!
Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui
Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!
Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
Ukweli gani? Wa kulimbuka na Subaru?ttzo la watu weusi hampend ukwel ndio maaana nchi hiendelei
kuwazodoa na kuwananga ndio kuwanusuru na kufa njaa sio 🐒kutambua mchango wao ndo kuwacha wanakufa njaa ?
WALIMU WA JF TUNAONEWA SANAJuzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!
Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui
Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!
Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
Mi kule juu nilikambia kaache kuropokwa hivyo kaache ligi za kijinga.Na nilitaka kajibu ili tuweke bond kaone watu wanamiliki magari ganiSubaru Forester ni vigari ya watu wa kipato cha chini hata walimu wanaweza kuwa nayo, kwa hiyo mko level moja nao. Ni vipao mbele tu. Acha majivuno na ushamba wa magari, hiyo sio gari ya kuringishia watu. Tafuta hela ununua chuna ya maana.