Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hongera kwako pia.
Kama haya mawazo ni ya beki3 ina maana hata wewe bosi wako anakutunza vizuri na anastahili pongezi lol!!
..Wasaidizi wa ndani wanatumikishwa kitumwa kiasi kwamba hata wao wenyewe wanajidharau na kutokukua kiakili.
Wengi wao ni ndani tu muda wote, hawapewi nafasi ya kujua dunia inaendaje.
Hata kuangalia tv ni mpaka basi wake aondoke na hapo wanaishia kuangalia bongo muvi na tamthilia nyinginezo.
Kwa asilimia kubwa Ubeki3 ni utumwa ndani ya jamii huru.
AminaMkuu barikiwa na wewe pia
Huwenda mungu alikulipa sana kwa uliomtendea huyo bint lkn kuja kusimulia huku tayali mungu ameshafuta mema yooote aliokulipa ambayo ulimfanyia huyo binti,hakuna jambo jema kama kumafanyia mtu wema kisha ukakaa kimya unapata fadhila nyingi sana kwa mwenyezi munguHabari zenu nyote,
Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi.
Maisha ya nyumbani kwao yalikuwa ni duni sana, na wazazi wake walionekana kushukuru sana binti yao kupata hii kazi ambayo mshahara kwa huo mwaka tulikubaliana elfu 30.
Baada ya kukaa nae kwangu, ndugu niliokuwa nakaa nao akiwemo mke niligundua hali ambayo sio nzuri ya kumtumikisha kazi nyingi zinazomzidi umri wake na zingine zingewezwa kufanywa na wao.
Nilizungumza nao na nashukuru walinielewa na wakawa wanamchukulia Kama mdogo wao na hata utambulisho wake kwa wageni haukuwa tena mfanyakazi wa ndani bali mdogo wetu.
Nilimshurikisha mke wangu juu ya kumuendeleza huyu binti na tulipomuuliza nini anapenda kujifunza, alitujibu anahitaji kuwa mshonaji wa nguo.
Tulimtafutia chuo akasoma mwaka mmoja hapo baadae tukamhamishia VETA kwa ajili ya ujuzi zaidi wa mafunzo hayo kwa mwaka mwongine, Alipomaliza aliomba kuendelea na fani nyingine ya urembo na upambaji hapohapo VETA tukamlipia na alimaliza vema.
Baada ya kumaliza tulimnunulia vyerehani viwili kwa kutumia pesa yake ya mshahara tuliyokuwa tunamtunzia na kuongezea ilipopungua na kumlipia frem kwa miezi 6 pamoja na kumuwekea vitenge na vitambaa kidogo kwenye frem akaanza kushona huku akiwa anakaa kwangu kwa miezi miwili.
Baada ya kumchunguza na kuona akili yake imekomaa, tukampangishia chumba cha 30k kwa miezi 4 akahamia na vyombo kidogo.
Nafurahi kuona hadi sasa anaendelea vizuri hakosi 40elfu kwa siku, sasa amepata mchumba anataka kuolewa.
Hili ni Jambo la kujivunia kwangu kuona maisha yake yamebadilika.
Hakika mmejiweka hazina mbinguni...Hili ni darasa zuri kwetu,mbarikiwe sanaHabari zenu nyote,

Labda wewe hausomeki maana kila siku wababa wanakula mabeki tatu, wasiwasi ndiyo akili ujue! Kama hakuna mazonge zonge yeyote ambayo ulishawahi yafanya naye hawezi kuwa mgumu hivyo, hamuamiki ila simsemei ila wapo wengi sanaUenda ni mchawi kweli sio kwa ile roho mbaya yake
Wamama Mashetani na je wababa wanao wabaka au tuseme kutembea nao utawaita vipi!nakupongeza mkuu kwa Jambo hili. na Mimi umenifundisha Jambo nikipata nafasi nitafanya Kama wewe.
Asante Sana.
Kuna mashetani huwa yanawageuza watoto wa watu Kama watumwa, kazi kibao huku mshahara mdogo Sana mengine yanawabaka kabisa walaaniwe kwa kweli
Mkuu umetenda mema sana sana, Mungu akubarikiHabari zenu nyote,
Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi.
Maisha ya nyumbani kwao yalikuwa ni duni sana, na wazazi wake walionekana kushukuru sana binti yao kupata hii kazi ambayo mshahara kwa huo mwaka tulikubaliana elfu 30.
Baada ya kukaa nae kwangu, ndugu niliokuwa nakaa nao akiwemo mke niligundua hali ambayo sio nzuri ya kumtumikisha kazi nyingi zinazomzidi umri wake na zingine zingewezwa kufanywa na wao.
Nilizungumza nao na nashukuru walinielewa na wakawa wanamchukulia Kama mdogo wao na hata utambulisho wake kwa wageni haukuwa tena mfanyakazi wa ndani bali mdogo wetu.
Nilimshurikisha mke wangu juu ya kumuendeleza huyu binti na tulipomuuliza nini anapenda kujifunza, alitujibu anahitaji kuwa mshonaji wa nguo.
Tulimtafutia chuo akasoma mwaka mmoja hapo baadae tukamhamishia VETA kwa ajili ya ujuzi zaidi wa mafunzo hayo kwa mwaka mwongine, Alipomaliza aliomba kuendelea na fani nyingine ya urembo na upambaji hapohapo VETA tukamlipia na alimaliza vema.
Baada ya kumaliza tulimnunulia vyerehani viwili kwa kutumia pesa yake ya mshahara tuliyokuwa tunamtunzia na kuongezea ilipopungua na kumlipia frem kwa miezi 6 pamoja na kumuwekea vitenge na vitambaa kidogo kwenye frem akaanza kushona huku akiwa anakaa kwangu kwa miezi miwili.
Baada ya kumchunguza na kuona akili yake imekomaa, tukampangishia chumba cha 30k kwa miezi 4 akahamia na vyombo kidogo.
Nafurahi kuona hadi sasa anaendelea vizuri hakosi 40elfu kwa siku, sasa amepata mchumba anataka kuolewa.
Hili ni Jambo la kujivunia kwangu kuona maisha yake yamebadilika.
Wifi yangu alikuwa naye ukifika pale utajua mdogo wao, si akaota mapembe akaanza jeuri kama sasa yeye mwenye nyumba [emoji3][emoji3] kila kitu anajipangia yeye, mmm waliishia kutimuanaIla shida ya bek 3 ulisema umzoee Kama mdogo wako nayo shida ..mie huez jua huyu ni bek 3! .sema unamkuta anakupanda kichwani vby mno...!ah maisha haya
Hapo sawa, unajua wakati mwingine unaweza mchukulia vizuri lakini sasa yeye mmm, nikuomba tu Mungu umpate ambaye mtaenda sawa, wapo mpaka wanaroga kabisa maboss zao [emoji23][emoji23][emoji23]sijataja wamama au wababa pekee . Bali nimesema wote kwa pamoja.
hii ni kweli wengine wanapindua meza kabisa.iwe wa kiume anamla mama Mwenye nyumba au wa kike analiwa na baba Mwenye nyumba koasi familia inavurugika Vibaya Sana.Hapo sawa, unajua wakati mwingine unaweza mchukulia vizuri lakini sasa yeye mmm, nikuomba tu Mungu umpate ambaye mtaenda sawa, wapo mpaka wanaroga kabisa maboss zao [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kukimbiwa mkuu, wawili waliolewa na wengine wanazo ratiba za maisha yao ambazo huwezi wazuia wanapotaka kuondoka. Pia mshahara, anaamua kwenda kwenye maslahi makubwa zaidi, huwezi kuzuia, ni haki yake. So, msichana wa kazi kuondoka haimaanishi kuwa umemtendea ubayaJifikirie una matatizo gani mpaka ukimbiwe na madada wa kazi?
Wifi yangu alikuwa naye ukifika pale utajua mdogo wao, si akaota mapembe akaanza jeuri kama sasa yeye mwenye nyumba [emoji3][emoji3] kila kitu anajipangia yeye, mmm waliishia kutimuana