Nimefanikiwa kuacha kunywa soda

Me soda nimeacha kunywa kitambo sana, lakini kila nikienda kwetu Tanga nashindwa kujizuia kunywa Healtho soda yetu pendwa
 
Mimi nimeaacha energy drink nilikuwa nakunywa 7 kww siku ila saiz miez 6 hii sijakunywa.
 

Hongera sana kwa maamuzi haya...mie tangu mwaka uanze niliweka azimio la kuwa vegan na hadi leo situmii any animal product.
 
Daaaah marinda nyeus popote ulipo umeona uzi wa leo eti tuachane sijui kama itawezekana yaniiii daaaah
 
Niliacha kunywa soda 2010 ila sasahivi naona kama narudi kulekule mwezi huu nimekunywa mbili
 
Sukari ina addiction kama ilivyo addictions nyinginezo. Siyo rahisi kuacha sukari kama udhaniavyo ila inawezekana kuacha. Kuiacha kwa ghafula au kupunguza huleta withdrawal symptoms ila baadaye mwili huzoea.
 
Hongera Mkuu
 
Siku nikifanikiwa kupunguza kula chumvi nitafanya sherehe
 
Sukari ina addiction kama ilivyo addictions nyinginezo. Siyo rahisi kuacha sukari kama udhaniavyo ila inawezekana kuacha. Kuiacha kwa ghafula au kupunguza huleta withdrawal symptoms ila baadaye mwili huzoea.
Kama mtu anataka kuacha sukari basi aanze kula asali ni nzuri Sana hii kitu
 
Mkuu pambana hata kwa mazoezi ukitoe aisee. Hakuna kitu kinaharibu muonekano wa mwanamke kama kitambi. Na sijui ni kwanini kadri kitambi kinavyonawiri na huko nyuma ndio kunasinyaa? 😄
Ni kwa sababu matako ni hifadhi ya mafuta, hivyo mafuta yakipata sehemu nyingine lazima yapungue. Ndio maana wasichana wanamaumbo yenye uwiano mzuri lakini wakianza kuzaa na kula kiholela matako, hipsi inakuwa historia.
 
Hongera mkuu eat healthy but in the end life is vanity and signifies nothing
 
Yani mimi nilijikuta tu tangu mdogo sipendi ugali kabisa. Mpaka leo na kesho kwangu huwezi kuta kitu inaitwa unga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…