mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Napilipili kwa mbaaaliSawa sawa mkuu ila ukitaka iwe mujarabu unatia na chumvi lazma wakasimulieane uko akhera!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napilipili kwa mbaaaliSawa sawa mkuu ila ukitaka iwe mujarabu unatia na chumvi lazma wakasimulieane uko akhera!
HongeraHiyo machine sio mchezo niliitumia kuua mende .Sehemu nilipomwagia kila mdudu aliekua anakatiza huo ukanda alikua anakufa kwa miaka 3 mfululilizo.
Bila shaka ni lavaKuna dawa moja ya kuulia wadudu wa shamba ,nikichupa kidogo tu kama vile vya dawa za watoto.kuna kunguni walikuwa wakisumbua sana kwenye gari ,watu wanakimbia gari wakati wa usiku,ukiuliza nn jibu ni kunguni,kuna siku tukapewa gari moja wapo wa hizo,aisee kunguni akaleta valangati mchana huo huo,
Kuna jamaa akatuletea ile dawa bwana ,akasema hii ni komesha wala msisumbuke,hiyo dawa ni hatari ,mda wa nusu saa baada ya kupulizia tukapanda kwenye chombo safari ikaendelea,haina harufu wala nn.nitaiulizia jina nilete mrejesho,na bei yake 5k madukani,si unajua lori watu wengine wanahamisha wadudu kutoka majumban.hiyo dawa ni komesha
Huyo huyo pugu boy kawaleta wajuba home dah!Wale wa Pugu Boyz kwenye mabweni wachukue notes za maangamizi ya kunguni
😀😀😀😀 wanambio kweli nilkaa mwezi kuja kujua kitu gani kinaniuma usiku hostel za chuo. Ukiamka kuwasha taa huoni kituNa wanambio kweri kweri
Wadau wame suggest dawa nyingi sana mpaka za mia 2Kuna denti kawaleta kwangu! Hapa nacheza rhumba kuliko Mokili Mobimba, kunguni wasikieni tu jamani! Nishapiga fatiki hadi nimezipa slogan kama operation tokomeza, War in Bunju (WIBU) lakini wapi [emoji56]
Nitazijaribu mkuu, ni shida sana hasa nyumba ikiwa na vitu vingi.Wadau wame suggest dawa nyingi sana mpaka za mia 2
hebu fuatilia comments za nyuma utapata suluhisho
Au ndo vileta pesa vyenu?Kunguni hawangalii masikini wala tajiri.
Prado hizo ziko 2. noah 2. Amarok 1. Pick up 1, Terrano 1, Pikipiki XL 250 iko 1.
Vikorokoro ni vingi ndio maana wadudu wanaingia bila taarifa
Mkuu kama maji yake ni meusi itakuwa hiyo,mana kopo pia lilikuwa jeupe hivo hivo
Kitambo nimewahi kutumia hiyo mbinu ya sabuni ya unga, tukaambiwa tuweke na ugolo na diesel lakini wapi....Kunguni hata MAJI YA POVU KALI unawaua vizur tu.. Nunua sabun ya buku 2 dofi alaf changanya yote na maji Lita 20 njoo nishkuru baada ya wiki alafu mwagia KO na zote Kama unaosha kitanda
Sikuijaribu mkuu.Mkuu kama maji yake ni meusi itakuwa hiyo,mana kopo pia lilikuwa jeupe hivo hivo
Kwa vipimo gani mkuu?Sawa sawa mkuu ila ukitaka iwe mujarabu unatia na chumvi lazma wakasimulieane uko akhera!
Haijakolea hiyoo sabuni Kali ujue mpaka mikono yako inaungua na kubabukaKitambo nimewahi kutumia hiyo mbinu ya sabuni ya unga, tukaambiwa tuweke na ugolo na diesel lakini wapi....
Funguka MzeeKuna chuo kimoja DSM msimu wa muhula kuanza wanafunzi hutaabika sana na kunguni, nakumbuka mdau alikuwa anakesha kusoma kumbe tatizo kunguni
Mimi, dawa niliyotumia haikuwa hata na haja ya kurudia,Mara moja tu,halikubaki hata yai la kunguni! Na siikumbuki ile dawa sio kama hii!huyu mdudu anakaa kwenye kona za kitanda, chaga na sehemu za godoro lililochanika.
kumbuka baada ya dawa zingatia usafi, muhimu sana kurudia dawa baada ya mwezi mmoja.
kumuangamiza kunguni ni kazi ngumu sana.
Chawa ndo wanaletwa na uchafuHivi kunguni mpaka leo wapo kweli, hawa si wanaletwa na tabia ya uchafu!