Tatizo mna wengi Sasa🙆Ah dada unaombaga kumi na 5 nn
hili nalirudia kila siku
Hapo mfano wangedate for 2 wks akaomba 15 haina noma mtu mmezoeana kidogo
Tuna siku 1 umeomba 15 je week ikiisha itakuaje
Sema hutakaa uelewe mpaka utakapokua mwanaume
Wanaume hzi 15 kwa siku ukikaa vibaya unaweza tema 100k kwa siku
Na we pia 🙏Hahahahahaha 👐 ...jioni njema
So sadsas kaka kuombwa 15k tu unaleta uzi hum serious !!!
Sasa mi si wanatoka Kila siku😁😁Huku kwetu kuna kijumbe kila baada ya siku 3 mtu anatoka anamuachia elfu 20🥺😰
Ujumbe ni ajira😂Sasa mi si wanatoka Kila siku😁😁
Vipi nianzishe mchezo humu?mi kijumbe muaminifuUjumbe ni ajira😂
Kila siku una uhakika wa kula, hongera!
yamkini dem nae kaona hapa hamna mtu serious wa ndoa ngoja awah mapema.Unauhakika una lengo la (ndoa ) kwake rafiki?
Amen 🙏Na we pia 🙏
NoTatizo mna wengi Sasa🙆
HahahahahqVipi nianzishe mchezo humu?mi kijumbe muaminifu
Utatupatia wapi tukikimbia na hela?Vipi nianzishe mchezo humu?mi kijumbe muaminifu
Hahahahahahaha...sawa sawa ..15k eti haitoshi...sasa ukiwasoma humu ndio wanadanganyana sana..No
Sio tuna watu wengi
Wanawake mnaomba hela hadi marafiki nowadays tena distant friends
I’ve had a scenario mdada kwenye contact yangu ambaye hatuwasiliani hata mara 2 kwa mwezi nikaombwa hela tena zaidi ya 15k
Mtu unaona kabisa huyu mtu hayupo serious
Na wanawake mnaona sawa kwasababu nowadays ni kama kila kitu kinawasapoti kuomba hela mnaomba ovyo ovyo tu
Afu kuna watu wanalalamika 15k
Hivi mnaijua 15k nyie😁😂
Yani hzi kunguru unauaUngemjibu kwa kifupi SINA, hayo maelezo yote ya nini?
Hamna mi ni kijumbe mzoefu nitawafungulia M-kobaUtatupatia wapi tukikimbia na hela?
Napokea hela id yangu hii, naitelekeza nafungua nyingine😂
kAma M-koba sawa! Nasubiri AnnouncementHamna mi ni kijumbe mzoefu nitawafungulia M-koba
HahahahahahaHamna mi ni kijumbe mzoefu nitawafungulia M-koba
Mchezo wangu hauchagui,unakariawaHahahahahq
Hahahahahahaha...sawa kijumbeMchezo wangu hauchagui,unakariawa