Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

Mabeki 3 wa siku hizi nao, hata pichu hawavai...

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Wadau hapa juzi kati niliingia tama nikamtawanya housegirl wetu hapa hom. sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa. Duuh Najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee!!!

Bahati kama hizi mbona sizipati mie?! Pole ndugu,ndio jitahidi ule vizur kwa kuhudumia hao mapacha sasa
 
tatizo sana hili jamani! Hasa vibinti vinavyokuja kufanya kazi vikiwa bado havijawahi kunaniliu

Yaan vibichi kama hivyo unavipa kwanza kama miezi 6 ya kupata afya na kubadilisha ngozi..siku kikipata ata mafua unajitolea kukapeleka hospital unampa buku 10 mtu wa mahabara anapima kila kitu....baada ya hapo unajipongeza tu mwenyewe...

..Na huku ndiko unaweza pata vitu brand new ambavyo sikuhizi kwa wake havipo...unajifungulia naniliuu mwenyewe....
 
maji ukishayavulia nguo sharti uyaogee. wakati unamsliti mkeo tena kwa housegal ulikuwa nampango nae. wanaume tuache kuwadhalilisha wanawake zetu.
 
Mnatunga hizi story kwa faida gani? Sijawahi kuelewa.

umeona eehh!!! kama lingekuwa ni tukio la kweli basi walau kidogo angetumia lugha ya kama mume ambae anajutia tendo na sio kuandika hivi kana kwamba anafurahia
 
unasali kwa yule jamaa anayepita-pita ubungo?
(ati ukiwa na house girl na ucpompiga ni dhambi)
Duh! Huyu jamaa nshawahi kukutana naye, eti anasema kuoa mke mmoja ni dhambi. Kweli mwisho umefika
 
umeona eehh!!! kama lingekuwa ni tukio la kweli basi walau kidogo angetumia lugha ya kama mume ambae anajutia tendo na sio kuandika hivi kana kwamba anafurahia
Tatizo msilolielewa dada zetu, ni kutogundua kuwa hata kama ni story ni based kwenye true story. Maana yake ukiona manyoya jua keshaliwa. Wanaume wengi humu wanapost vitu vilivyokwishatokea na ambavyo wanasimuliana kwenye vijiwe vyao. Hasa hawa wadogo zetu wa dotcom
 
Yaan vibichi kama hivyo unavipa kwanza kama miezi 6 ya kupata afya na kubadilisha ngozi..siku kikipata ata mafua unajitolea kukapeleka hospital unampa buku 10 mtu wa mahabara anapima kila kitu....baada ya hapo unajipongeza tu mwenyewe...

..Na huku ndiko unaweza pata vitu brand new ambavyo sikuhizi kwa wake havipo...unajifungulia naniliuu mwenyewe....
Hovyo kabisa....
 
Huo ni ujinga uliopitiza, housegirl jamani? Tena ni dharau kubwa sana kwa mkeo!
 
yani huna hata haya umemdhalilisha sana mkeo ndugu
 
heshima ya mke wako kwa wanaomzunguka hasa wa nyumbani mwako ni uaminifu, kumbuka wewe kama mwanadamu huyo mtu unayezini naye anaweza akagundua kasoro kwako na pia lazima atakua anamdharau mke wako. ni fedheha kubwa sana sana ulioingiza nyumbani. hadi watoto watajua. heshima ya ndoa ni kitandani
 
Tatizo msilolielewa dada zetu, ni kutogundua kuwa hata kama ni story ni based kwenye true story. Maana yake ukiona manyoya jua keshaliwa. Wanaume wengi humu wanapost vitu vilivyokwishatokea na ambavyo wanasimuliana kwenye vijiwe vyao. Hasa hawa wadogo zetu wa dotcom
nani dada yako?
 
Back
Top Bottom