Ni swala la uelewa tu ndugu yangu ukiona mtu anatukana mwalimu huyo hana tofauti na anaye utukana uchi wa mama yake ulio mtoa baana ya yeye kujiona kakua.Kwani mwalimu wa kiswahili mbona unasumbua watu
Labda una mimba changa ndo maana umetapika wala siyo TBC.Mi nilikuwa napata sup bar fulani hapa mtaani, mhudumu alikuwa amefungu tbc. Niliposhuhudia yale masifa, ghafla nilitapika. Sup yangu yote imetoka. Ndio nimeondoka hapo kama dk 20 hivi zilizopita.
Ni swala la uelewa tu ndugu yangu ukiona mtu anatukana mwalimu huyo hana tofauti na anaye utukana uchi wa mama yake ulio mtoa baana ya yeye kujiona kakua.
Kweli wewe ni mkuu ndu wa bata.MIMI NILIFAULU KWA AKILI ZANGU MWALIMU HAJACHANGIA CCHTE
Wasukuma ndo maana masimangwa kila siku. Hivi hili nalo ni jambo la kuja kuanika mbele ya watu. Unawalingishia watu na diploma?Mungu huwa hakosei kwenye maamuzi yake😁😁😁 nilipomaliza kidato cha sita matokeo yangu hayakuwa mazuri nilipata daraja la nne maadui zangu walifurahi sana wakasema mwizukulu mgikuru ndio ameishaa hivyooo. Wenzangu waliofauru vizuri wakaenda kusoma wote ualimu na wakapata mkopo kwa asilimia 80. Mimi nikajipanga baada ya miaka kadhaa niikaenda kusoma kozi ya afya kwa ngazi ya diploma na leo nina furaha kuliko wale jamaa zangu😁
Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Nani aliyewahi kuamka hapa nchini?Kila mwaka CAG anaanika ufisadi mkubwa, je wananchi wameshaamka kupitia hizo ripoti? Matokeo ya Uchaguzi kuchakachuliwa wananchi wameshaamka? Kule Zanzibar walishafanikiwa kuuvunja Muungano wa kulazimisha? Kwanini Walimu tu ndo muwaone hawajaamka nchini?Watazido kudharaulika day in day out mpaka watakapo amka na kutoka usingizini
N
Nani aliyewahi kuamka hapa nchini?Kila mwaka CAG anaanika ufisadi mkubwa, je wananchi wameshaamka kupitia hizo ripoti? Matokeo ya Uchaguzi kuchakachuliwa wananchi wameshaamka? Kule Zanzibar walishafanikiwa kuuvunja Muungano wa kulazimisha? Kwanini Walimu tu ndo muwaone hawajaamka nchini?
Kama wao wameridhika, wewe kinachokuuma nini? Pumbavu!!Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Aiceee!!! Umenikumbusha mbali mwalimu kavurugwa Hadi kaongea kisambaa darasaniWalimu Tuna Hali Ngumu X 3
Tutazua Kitimtim X 3
By Wagosi Wa Kaya
Sasa kama unajua Walimu ni reflection ya jamii ya Kitanzania (yeye akiwa product ya jamii hiyo) kwanini ukae ukimsakama Mwalimu tu ilhali hilo ni tatizo la jamii nzima?Hao walimu wanatokea kwenye jamii ipi?
Unachokiona kwa walimu ni reflection ya jamii ya kitanzania.
Kuna tabia ya uchawa (wenyewe wanaita unyenyekev) ambayo imekuwa imprinted tokea ngazi ya familia.
Unless ngazi ya familia ianze kubadilika there will be no change forever
Mzee wa kangara kwan ulikua unategemea kipi toka kwa waalimu? Jus same story hawana impact yoyote juu ya maslahi yao!!Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Walimu hawana mnyonge, jobless citizens Wana stress kibao, sasa badala ya kupambana na serikali wao kila siku kupambana na walimu.Kwahiyo mnyonge wa mwalimu ni jobless?
Mbona unatutisha kuingia huko?
Nahisi nae MC aliletwa kinchongo, maana badala ya kuwa siku ya wafanyakazi ikageuka siku ya promo kwa the madam.WAMEJAZANA UWANJANI MASKINI HALAFU MC HATA HASOMI MABANGO YAO ANAJIROPOKEA YA KICHWANI MWAKE.
WALIMU NI WAJINGA AISEE
Na walimu ndo wasimamizi wa masanduku ya kura, we kalia idadi ya wanachiNani kakuambia?nchi hii ina watu wangapi? Je walimu wako wangapi Tanzania?
Anafikiri diploma aliyoenda na failure yake ya 6, hao walimu hawakuwa na Vigezo vya kuusoma!! Kafeli 6 sasa kajipanga kuwasimamga waliomzidi ufauluWasukuma ndo maana masimangwa kila siku. Hivi hili nalo ni jambo la kuja kuanika mbele ya watu. Unawalingishia watu na diploma?
Sawa babaake kishikwambi.Achana na walimu, wengi wanawaponda walimu ni kaziless people.