Nimefedheheka sana na kuamua kuzima Runinga. Yaani walimu wanatumika kisiasa kumpigia kampeni Rais Samia 2025! Huku wamejaa dhiki

Kwani mwalimu wa kiswahili mbona unasumbua watu
Ni swala la uelewa tu ndugu yangu ukiona mtu anatukana mwalimu huyo hana tofauti na anaye utukana uchi wa mama yake ulio mtoa baana ya yeye kujiona kakua.
 
Mi nilikuwa napata sup bar fulani hapa mtaani, mhudumu alikuwa amefungu tbc. Niliposhuhudia yale masifa, ghafla nilitapika. Sup yangu yote imetoka. Ndio nimeondoka hapo kama dk 20 hivi zilizopita.
Labda una mimba changa ndo maana umetapika wala siyo TBC.
 
Ni swala la uelewa tu ndugu yangu ukiona mtu anatukana mwalimu huyo hana tofauti na anaye utukana uchi wa mama yake ulio mtoa baana ya yeye kujiona kakua.

MIMI NILIFAULU KWA AKILI ZANGU MWALIMU HAJACHANGIA CCHTE
 
.
Resizer_16829363305771.jpg
 
Mungu huwa hakosei kwenye maamuzi yake😁😁😁 nilipomaliza kidato cha sita matokeo yangu hayakuwa mazuri nilipata daraja la nne maadui zangu walifurahi sana wakasema mwizukulu mgikuru ndio ameishaa hivyooo. Wenzangu waliofauru vizuri wakaenda kusoma wote ualimu na wakapata mkopo kwa asilimia 80. Mimi nikajipanga baada ya miaka kadhaa niikaenda kusoma kozi ya afya kwa ngazi ya diploma na leo nina furaha kuliko wale jamaa zangu😁
Wasukuma ndo maana masimangwa kila siku. Hivi hili nalo ni jambo la kuja kuanika mbele ya watu. Unawalingishia watu na diploma?
 
Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.

Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.

This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu

Watazido kudharaulika day in day out mpaka watakapo amka na kutoka usingizini
 
N

Nani aliyewahi kuamka hapa nchini?Kila mwaka CAG anaanika ufisadi mkubwa, je wananchi wameshaamka kupitia hizo ripoti? Matokeo ya Uchaguzi kuchakachuliwa wananchi wameshaamka? Kule Zanzibar walishafanikiwa kuuvunja Muungano wa kulazimisha? Kwanini Walimu tu ndo muwaone hawajaamka nchini?
 
Hao walimu wanatokea kwenye jamii ipi?
Unachokiona kwa walimu ni reflection ya jamii ya kitanzania.
Kuna tabia ya uchawa (wenyewe wanaita unyenyekev) ambayo imekuwa imprinted tokea ngazi ya familia.
Unless ngazi ya familia ianze kubadilika there will be no change forever
 
Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.

Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.

This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Kama wao wameridhika, wewe kinachokuuma nini? Pumbavu!!
 
Hao walimu wanatokea kwenye jamii ipi?
Unachokiona kwa walimu ni reflection ya jamii ya kitanzania.
Kuna tabia ya uchawa (wenyewe wanaita unyenyekev) ambayo imekuwa imprinted tokea ngazi ya familia.
Unless ngazi ya familia ianze kubadilika there will be no change forever
Sasa kama unajua Walimu ni reflection ya jamii ya Kitanzania (yeye akiwa product ya jamii hiyo) kwanini ukae ukimsakama Mwalimu tu ilhali hilo ni tatizo la jamii nzima?
 
Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.

Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.

This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Mzee wa kangara kwan ulikua unategemea kipi toka kwa waalimu? Jus same story hawana impact yoyote juu ya maslahi yao!!
 
Kwahiyo mnyonge wa mwalimu ni jobless?
Mbona unatutisha kuingia huko?
Walimu hawana mnyonge, jobless citizens Wana stress kibao, sasa badala ya kupambana na serikali wao kila siku kupambana na walimu.
 
Wasukuma ndo maana masimangwa kila siku. Hivi hili nalo ni jambo la kuja kuanika mbele ya watu. Unawalingishia watu na diploma?
Anafikiri diploma aliyoenda na failure yake ya 6, hao walimu hawakuwa na Vigezo vya kuusoma!! Kafeli 6 sasa kajipanga kuwasimamga waliomzidi ufaulu
 
Back
Top Bottom