NMB, CRDB, AMCOS , MABOTO … waione hii.RIBA ni sababu ya maanguko mengi ya Biashara na wafanyabiashara.
Ukijihusisha na Riba iwe kukopa au kukopesha jua kuwa umeshaitia nuksi biaahara yako na mwisho wake mara nyingi huwa ni KUFILISIKA.
Hapana mkuu bahati mbaya nina circle ndogo ya marafiki. Ambaye yupo vizuri ni yule bro alie niitia nikamsaidie kazi kule pori. Yeye naye ana vipengele vyake Bado hajasimama anajitafuta.pole sana bro i feel u, hauna rafk yak ambaye yuko chaka kpnd hch cha mavuno ukakusanye mtaj huko.
nenda kwenye soko kubwa la mji wenu hapo huwezi kosa mishe ya kufanyaNipo geita mjini, Ndiyo naweza mkuu.
Yeah! Umri wa miaka 13 alitakiwa awe std.6 kama sijakosea. Anaacha shule(Ametoroka) kwenda kuanza biashara.Mtoro au siyo.
Mkuu kumbe tunaweza enda Msasa kukununua "mbulaja" kwa manyani.GEITA MJINI.
Nimecheka na nimeishia kusoma hapa 😂Ingawa kabla ya kuchukua maamuzi haya niliwaza nina Facebook page ambayo Iko monitized ambapo nilipewa mwaliko mwezi ulio isha nina dollar 1.47 tu maana Sina muda wa kupost na Sina pesa je nikiuza simu si wataniondoa kwenye orodha ya watu wanao lipwa.?
Kama we mwenyeji hapo basi utakua familia sana, Kuna mwl mmoja alikua anaitwa mwl magesa mkewake anafanya KAZI mahakamani unampata.? Naomba nikuchek PMMkuu kumbe tunaweza enda Msasa kukununua "mbulaja" kwa manyani.
Niko mtaa wa Mseto hapa Nkola ya chini.
Tatizo mnasoma kilicho andikwa ili mpate Cha kujibu na sio kuelewa...Yeah! Umri wa miaka 13 alitakiwa awe std.6 kama sijakosea. Anaacha shule(Ametoroka) kwenda kuanza biashara.
Duh ushauri mwiiiingi wa kuhusu riba kumbe destin yake ilikua niende sokoni nitapata cha kufanya. Any way sawa sokoni pale siwezi kwenda maana nataka sehemu nitakayo pata uhakika wa kupata hata ya hela ya mboganenda kwenye soko kubwa la mji wenu hapo huwezi kosa mishe ya kufanya
Kazi ya 200k kwa mwezi au?1. Pole.
2. Usiuze Simu.
3. Tafuta kazi hata ya 200k.
Kazi ya 200k kwa mwezi au?
Yaani a trade muda wake mwezi mzima aambulie 200k?Ndio Mkuu. Yakumsogezq
Yaani a trade muda wake mwezi mzima aambulie 200k?
Kwanini asitafte hata issue ya kuingia 15 kwa siku?Sasa afanyaje?
Hana hela,
Biashara imekufa
Mtu aliyefikia hatua anataka kuuza simu unataka umpe ushauri upi?
Kwanini asitafte hata issue ya kuingia 15 kwa siku?
Hahahahaaa hivi wewe ng'ombe muda wote unakua umelewa au???Inawezekana kabisa , mimi nilianza na miaka miwili