Nimefika safari yangu, wife hajaniuliza hata kama nimefika salama

Nimefika safari yangu, wife hajaniuliza hata kama nimefika salama

Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.

Nifanyaje wakubwa?
Unampenda sana huyo Mwanamke na yeye analijua hilo na ndio maana anakufanyia vitimbi. Kaza moyo japo inauma na wewe mkaushie tu.
 
Kaushaa kimyaa usimtaarifu kama umefikaa.. Kesho msalimie kwa salam kama kawaida ila usiongelee chochote kuhusu safari tumia Akili usitumie hisia kwenye mambo yako..!! Wanawake asilimi 99 mkipishana kauli ndivyo walivyoo ukitaka kwenda nae sawa Usimuulize why hajakuuliza atajua amekuweza.
Mnamlaumu bure huyo mwanamke. Yeye muhusika kwa nini asiseme kama kafika salama anasubiri hadi aulizwe?
 
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.

Nifanyaje wakubwa?
Kama mlikuwa na mgogoro wakati unaondoka inamaana haujaosha rungu master...na unakaa mda gani ili nimkadirie uvumilivu wake..? Siku nyingine kama huwezi kukaza usimnunie mwanamke.
Mwanamke ana software kichwani kwake inayohitaji update kila baada ya mda fulani. Zaidi zaidi usiache kumstua hata kwa makofi ya kiume hata mara moja katika siku 365. Hapo ndio ku-update software yake.
 
whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Anachat na ampendaye

Ukweli ni kwamba siku hizi wanawake wengi wanaolewa na wanaume wasiowapenda

Wanawake wengi wanalazimika tu kuingia kwenye ndoa kwa sababu ya umri, kuepuka aibu kwenye jamii na uwepo wa kibunda

Muda wake wa kutombesha kwa mwenye hisia naye za kimahaba
 
Inaumiza sana lakini ukweli ni kwamba tayari imeshajionesha ktk ndoa yenu wewe ndo unampenda sana kwahiyo kiburi cha kupendwa kimemuingia.

Hiki ni kiburi kibaya ndani ya ndoa, kiburi kinachomfanya mwanamke asitambue sehemu yako kama mume ndani ya maisha yake.
Mkuu umepga kwenye mshono
tatzo pia ameondok na siku anaondok kanyimwa mzgo 🐼🐼🤸🤸
 
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.

Nifanyaje wakubwa?
actually sio mkeo tu,
hata ukienda kwenu kijijini au mjini, kwa ndugu, jamaa au marafiki zako mathalani, kuwambelea na ukaishi au kukakaa huko kwa kipindi au muda fulani, ukiondoka wasipo kujulia hali ya urahisi, ugumu au usalama wa safari yako, basi jua ya kwamba ulikua mzogo au kikwazo kwao, na kwahivyo kuondoka kwako kumewapa ahueni na kwakweli wamefurahi kauzobe kameondoka wajiachie sasa....

wakikupigia ujue wewe ni wa maana na muhimu sana kwao...

so,
ni hali ya kawaida, iskupe tabu na kaa ukijua unaweza kuibadilisha na ikawa sawa kwa muda mfupi sana, mweza wako akawa anakuchek kama kawaida uwapo safarini :NoGodNo:
 
Anachat na ampendaye

Ukweli ni kwamba siku hizi wanawake wengi wanaolewa na wanaume wasiowapenda

Wanawake wengi wanalazimika tu kuingia kwenye ndoa kwa sababu ya umri, kuepuka aibu kwenye jamii na uwepo wa kibunda

Muda wake wa kutombesha kwa mwenye hisia naye za kimahaba
Taratibu mnaanza kuukubali uhalisia sasa, tukisema sisi mnatuita feminists wakati huo ndio ukweli, bado wale waliokuwa wananibishia kwamba mwanaume ndiye anayehitaji zaidi ndoa kuliko mwanamke

Sasa imagine huyu mwenzenu mke wake hajampigia tu kumuuliza kama kafika salama, tayari kaumia kihisia na kaanza kuquestion mapenzi ya mkewe kwake, sasa jiulize je wanawake wanaweza kuumizwa na mambo ya kipuuzi na kitoto kama haya

Na huko tunakoelekea wanawake wakianza kusimama vizuri kiuchumi, na jamii ikiacha kuwasimanga kwa sababu ya umri basi ndio mtajua mbivu na mbichi, na ndio mtajua rangi halisi ya wanawake hapa mbona bado hamjaona kitu relax and watch how this goes
 
Inaumiza sana lakini ukweli ni kwamba tayari imeshajionesha ktk ndoa yenu wewe ndo unampenda sana kwahiyo kiburi cha kupendwa kimemuingia.

Hiki ni kiburi kibaya ndani ya ndoa, kiburi kinachomfanya mwanamke asitambue sehemu yako kama mume ndani ya maisha yake.
Sad
 
Back
Top Bottom