Nimefika safari yangu, wife hajaniuliza hata kama nimefika salama

Nimefika safari yangu, wife hajaniuliza hata kama nimefika salama

Hii ni akili au matope? Anayetakiwa kusema amefika ni nani, kama sio wewe? Kwa nini huyo wife naye asimalalimike umefika bila kumpa taarifa?
Binadamu ni wajinga sana, yeye ndio anapaswa kutoa taarifa kuwa amefika, asipojibiwa kosa la mkewe ndio litaanzia hapo.

Hii ni tabia ya kupenda mashindano, kuviziana na kupenda kuplay games mwanaume timamu hapaswi kufanya. Ujinga ujinga wa watu ambao akili zao zimegoma kukomaa.
 
Daaaaah aseee hao wake zenu mnaishi nao vp? Issue ndogo kama hiyo umeshupaza misuli why?!!!!!

Mpigie mkeo msalimie mjulishe kuwa umefika salama joh!

Halafu hii issue ya ULALAMISHI kupita kiasi Haina afya kwa ndoa.
Hiki ndicho kizazi tulichotengenezewa na chama changu cha CHADEMA! Kila kitu kulalamika tu!
 
Umesema sahihi kabisa.
Ni sawa uende kwa mtu, ukute amekaa sebukeni, unaingua na wewe unakaa kimya kisa wewe ni mkubwa anapaswa kukusaliamia.
WaTz wengi wana tatizo la communication, hawaelewi flow ya communication inatakiwa kuwaje. Ni kama ile mtu anakupigia simu na namba mpya, badala aseme Hello, mimi ni fulani.. anaanza Hallo unajua mi ni nani? Haujaijua sauti? Ukimwambia sijaijua anazira WTF!!!
 
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.

Nifanyaje wakubwa?
una wajibu pia wa kumjulisha kuwa Umefika salama. usijikwaze bila sababu
 
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.

Nifanyaje wakubwa?

MMEKUTANA WANAWAKE WAWILI MNAISHI NYUMBA MOJA. MJITAHIDI MPATE MUME AWAOE WOTE MTULIE. NDO MAANA JAMBO LA KIPUUZI KAMA HILO UNALILETA HUKU. UNGEPATA MUME ANGEKUWA ANAKUPIGA MASHINE MUDA HUU UKAWA BUSY.
 
Ndio tatizo la kupenda bila yy kukupenda!! Pole kiongozi piga KAZI mkuu.


KAZI ni kipimo cha UTU
 
Taratibu mnaanza kuukubali uhalisia sasa, tukisema sisi mnatuita feminists wakati huo ndio ukweli, bado wale waliokuwa wananibishia kwamba mwanaume ndiye anayehitaji zaidi ndoa kuliko mwanamke

Sasa imagine huyu mwenzenu mke wake hajampigia tu kumuuliza kama kafika salama, tayari kaumia kihisia na kaanza kuquestion mapenzi ya mkewe kwake, sasa jiulize je wanawake wanaweza kuumizwa na mambo ya kipuuzi na kitoto kama haya

Na huko tunakoelekea wanawake wakianza kusimama vizuri kiuchumi, na jamii ikiacha kuwasimanga kwa sababu ya umri basi ndio mtajua mbivu na mbichi, na ndio mtajua rangi halisi ya wanawake hapa mbona bado hamjaona kitu relax and watch how this goes
hapa umeongea ki mlengo wako, the way ulivyofikiri na the way unavyofikir na unavyoona JADDA.
 
Back
Top Bottom