Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Kama nakuona vile na mchogo wako unavyoingia whatsapp kuchungulia last seen ya mkeo halafu unavimbisha mashavu kama mimba ya Panya....teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu ni wajinga sana, yeye ndio anapaswa kutoa taarifa kuwa amefika, asipojibiwa kosa la mkewe ndio litaanzia hapo.Hii ni akili au matope? Anayetakiwa kusema amefika ni nani, kama sio wewe? Kwa nini huyo wife naye asimalalimike umefika bila kumpa taarifa?
Hiki ndicho kizazi tulichotengenezewa na chama changu cha CHADEMA! Kila kitu kulalamika tu!Daaaaah aseee hao wake zenu mnaishi nao vp? Issue ndogo kama hiyo umeshupaza misuli why?!!!!!
Mpigie mkeo msalimie mjulishe kuwa umefika salama joh!
Halafu hii issue ya ULALAMISHI kupita kiasi Haina afya kwa ndoa.
WaTz wengi wana tatizo la communication, hawaelewi flow ya communication inatakiwa kuwaje. Ni kama ile mtu anakupigia simu na namba mpya, badala aseme Hello, mimi ni fulani.. anaanza Hallo unajua mi ni nani? Haujaijua sauti? Ukimwambia sijaijua anazira WTF!!!Umesema sahihi kabisa.
Ni sawa uende kwa mtu, ukute amekaa sebukeni, unaingua na wewe unakaa kimya kisa wewe ni mkubwa anapaswa kukusaliamia.
una wajibu pia wa kumjulisha kuwa Umefika salama. usijikwaze bila sababuOfcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Nifanyaje wakubwa?
Unatafuta umaarufu kwa mgongo wa chadema kama Lucas MwashambwaHiki ndicho kizazi tulichotengenezewa na chama changu cha CHADEMA! Kila kitu kulalamika tu!
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Nifanyaje wakubwa?
Lucas Mwashambwa mkuu yule ni chawa wa viongozi wa CCM! Bila kuisema CHADEMA mkuu wewe siyo mwanasiasa!Unatafuta umaarufu kwa mgongo wa chadema kama Lucas Mwashambwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] *****Na wewe wakati unarudi hakuna kutoa taarifa tena unaingia nyumbani ukiwa umelewa chakali ukiwa umeletwa kwenye toroli au bajaji
😝😝😝Una uhakika huyo ni mkeo?
hapa umeongea ki mlengo wako, the way ulivyofikiri na the way unavyofikir na unavyoona JADDA.Taratibu mnaanza kuukubali uhalisia sasa, tukisema sisi mnatuita feminists wakati huo ndio ukweli, bado wale waliokuwa wananibishia kwamba mwanaume ndiye anayehitaji zaidi ndoa kuliko mwanamke
Sasa imagine huyu mwenzenu mke wake hajampigia tu kumuuliza kama kafika salama, tayari kaumia kihisia na kaanza kuquestion mapenzi ya mkewe kwake, sasa jiulize je wanawake wanaweza kuumizwa na mambo ya kipuuzi na kitoto kama haya
Na huko tunakoelekea wanawake wakianza kusimama vizuri kiuchumi, na jamii ikiacha kuwasimanga kwa sababu ya umri basi ndio mtajua mbivu na mbichi, na ndio mtajua rangi halisi ya wanawake hapa mbona bado hamjaona kitu relax and watch how this goes