Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

Alkrumuti kafa ila mnabusu mavi yake maana kawarudishia kokoto nane badala ya jiwe

Pale mkaziunganisha mkaweka umbo la uke wa mwanamke

Maana wanawake kabla ya uislamu walikuwa wanalipakaza blidi wakiwa hedhi Ili wapate watoto

Kasome maandiko
sio wewe tu.wote waliojaribu kuuchafua uislam walishindwa na wewe utashindwa tu
 
Mods edit heading "Ikiwemo" Uislamu.
Wakatoliki waungwana na wavumilivu, ila kila nikikumbuka vifo vya mapadri mfululizo na maiti kukutwa kwenye matenki ya maji napata mashaka na uvumilivu wao, kumbuka hakuna kesi za yale matukio
 
Nenda google m search alkrumuti uone alichokifanya mpaka Allah alikaa pembeni, aliua wabusu jiwe maelfu na alipiga kelele Allah ajitokeze
🀣🀣🀣.na wewe unayabeba tu.
 
Una google huko Mbona Unapata hata picha ya Yesu kavaasuti.nambie kanisagani kwa hapa Tanzania la kiluther utakuta sanamu
Kuitwa tu kanisa la kilutheri...(kanisa la Luther) ni kiashiria cha kumwabudu Luther...go figure!
 
Ngoja wamalize kula daku watakuja kukushambulia hatari. Jamaa wanashikishwa ukuta kule macca na kuuziwa mawe ya kumpiga shetani alafu huku wanawatukana wafuasi wa Mwamposa kuuzia udongo.

πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‡
Bado hujaongezea na yale maji yao wanayouziwaga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ila dini ukishadadia sana unaweza ukawa fala. Tujifunze kuwa na kiasi mzani ubalance.
 
Kwanini mnabishana? Kwanini kila mtu asibaki na kile anachoamini?
 
Mfano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…