Hivi unaelewa maana ya Neno Catholic?Kwani Musa aliyeandika torati alikuwa mkatoliki?
Mfalme Suleiman na Daudi aliyeandika zaburu alikuwa mkatoliki?
Wale manabii kama Hagai na Danieli walikuwa wakatoliki?
Walioandika injili yaani Mathayo, Marko, Luka na Yohana walikuwa wakatoliki?
Yohana aliyeandika ufunuo alikuwa mkatoliki?
Sasa kwa kigezo kipi unasema biblia imeandikwa na Catholic? Catholic imefanya editing.
kisa huyo jamaa alilinyea ndo unataka watu wasiende kuhijj?Wala hamjali alkrumuti aliliba akalinyea na akarudisha kokoto badala ya jiwe
Na unajua kwa nini wameziunga kokoto nane na kuziweka kwenye umbo la uke ?
hatujaanza sisi,na wala hatuwezi kuwa wa mwishoKwanini mnabishana? Kwanini kila mtu asibaki na kile anachoamini?
Kwa nini mliguse kama halina manufaa yoyote?Nani amekwambia kuushika huo ukuta tunaabudu huo ukuta , kwenye vitabu vyetu hakuna mahala tumeambiwa kuabudu ukuta ,,, yaani mwijaku ndio reference yenu kwamba waislam ndio idiol worshipers. Katika nguzo za Hija au Umra hakuna inayosema LAZIMA uende ushike huo ukuta kiigizo chetu ni Mtume Mohamad Rehema na Amani iwe juu yake ..hajatuambia hakuwahi kutuambia tuabudu jiwe au ukuta .. kama wewe kiigizo chako ni mwinjaku haya
Ungeuliza historia , ni tukio gani lilifanyika wakati wa mtume na sisi tunaigiza kufanyika kwakeKwa nini mliguse kama halina manufaa yoyote?
Kwanini mnaigiza kama hakuna manufaa?Ungeuliza historia , ni tukio gani lilifanyika wakati wa mtume na sisi tunaigiza kufanyika kwake
Kwasababu Mohamad Rasool Allah ndio kiigizo chetu waislam ..kila alilolifanya yeye basi na mafundisho kwetu sisiKwanini mnaigiza kama hakuna manufaa?
Yeye aligusa kwa manufaa Gani ? Na alibusu jiwe kwa manufaa Gani ?Kwasababu Mohamad Rasool Allah ndio kiigizo chetu waislam ..kila alilolifanya yeye basi na mafundisho kwetu sisi
Sasa hilo ni swali ulitakiwa kuuliza toka hapo awali ..ukapewa historia yake ,,,Yeye aligusa kwa manufaa Gani ? Na alibusu jiwe kwa manufaa Gani ?
Sasa ujibu kwanini alilibusu? Maana Nina Hadith umar alisema halina maana ni jiwe tu lisilo ja maana yoyote, Muhammad akasema lina maana kubwaSasa hilo ni swali ulitakiwa kuuliza toka hapo awali ..ukapewa historia yake ,,,
Ni kweli halina maana yoyote ... Ni wapi umesoma mtume alilibusuSasa ujibu kwanini alilibusu? Maana Nina Hadith umar alisema halina maana ni jiwe tu lisilo ja maana yoyote, Muhammad akasema lina maana kubwa
Kwa hiyo kati ya umar alisema halina maana ni jiwe tu , Muhammad aliesema kulibusu kuna maana kubwa sana , wewe umechagua kumuamini umar badala ya Muhammad?Ni kweli halina maana yoyote ... Ni wapi umesoma mtume alilibusu
kwa nini Umar alisema jiwe halina msaada wowote na haliwezi kufanya chochote na kutoa faida yoyote likibusiwa , na analibusu kwa sababu mudi ka busu tuNi kweli halina maana yoyote ... Ni wapi umesoma mtume alilibusu
Lini bro wamesema haya hawa watu,hilo la Catholics kuanzisha uislam sasa nakaribia uzee lakini nilikuja kulisoma humu na walioandika hizo habari sijawahi kuona wame-declare ni wakatoliki.Acha unafikia ndugu yangu ,nyie wakatoliki ni wabaya tena wanafiki zaidi ,kwenye mitandao mnapenda kujifanya mna nguvu ,mnasema mlianzisha uislamu..