TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

Habari za corona umezitoa wapi?
Kwamba hujui kuna corona...?

Na husambazwa endapo mtu mmoja mwenye virusi asiyejikinga akakutana na mtu mwingine asiyejikinga kiasi cha kubadilishana hewa?

Sasa je huoni ikitokea watu wengi wamekusanyika kuomboleza msiba, umakini wa kujikinga unakuwa ni mchache?
 
Queen of Sheba alikufungulia Uzi , unahusika na kumtapeli ,kuna ukweli ktk hilo?
Unahisi hapa ni sehemu sahihi kwa hili swali lako?[emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji2959][emoji2959][emoji2959]
 
Pole sana mkuu
 
Pole sana, vipi hela ya mrembo wa watu umerudisha?
Wewe mtu yupo kwenye majonzi unaanza kuleta porojo za kurudisha pesa eboo..wewe vip wewe?

Enewei kuna mtu alishawahi kumtapeli? Mimi siwezi kuamini kabisa.
 
kwann useme mzee wetu akiwa kafariki, akati unamuuguza ulimwambia nn

kifo ni sherehe tulitakiwa tushiriki kuuguza ndg
 
Pole sana mkuu,MUNGU aware uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…