TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

Pole sana mkuu..inauma sana kufiwa na mtu uliyempenda na kumzoea

 
Singida sehemu gani tuje kutoa daraja?
 
Boss, kwa mila na tamaduni zetu, hua tunaweka kando tofauti na mambo mengine pindi mwenzetu anapofikwa na jambo linalohitaji faraja.

Najua usivyoweza kuvumilia nonsense ila punguza kidogo munkar mkuu. Mwacheni amalize hili lililomfika, mambo mengine yanaweza kusubiri.

Nilicheka ulivyoelezea unavyoenda na gia zote mtu akitaka kukuletea mchezo, tozo unatoa kweli wewe?
 

Pole sana master entrepreneur
 
P
Pole sana kaka
Mungu akutie nguvu.

Baba Apumzike kwa amani.
 
Pole sana mkuu, Mungu akufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu na familia kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…