Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
www.jamiiforums.com
Singida sehemu gani tuje kutoa daraja?Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.
Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"
Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.
Nawapenda na Mungu Awabariki.
Anadaiwa humu nimlipie?Pole sana, vipi hela ya mrembo wa watu umerudisha?
Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.
Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"
Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.
Nawapenda na Mungu Awabariki.
Ndio kamtapeli mrembo hela yake na kula mbususu ya bure, tafadhali mlipie hyo hela mrembo ni anaye hustle sanaAnadaiwa humu nimlipie?
Pole sana kakaHabari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.