Nimefuatilia mahojiano ya Godbless Lema na Odemba Star TV na hizi ndio findings zangu

Sugu Mr too proud ni shida sana anajifanya bilionea eti wakati ni WA kawaida sana
 
Basi Makonda ni genius. Umefurahi sasa?
 
Sawa! Lakini science negates that thinking,not at a gene level
 
Ushauri wako utafanyiwa kazi
 
Ile interview ni ya kibabe.
Unajua Odemba ana maswali magumu ya kung'ang'aniza......ni presenter Mzuri lakini inabidi uwe naye makini sana.

Lema alikuwa kwente defence kwa kuwa anamjua sana Chifu Odemba kwenye mahojiano ana ka Ukatiri fulani
 
Lema angekuwa na akili angeacha mker majuu na kuja kupiga debe kwa ajili ya kufukuzia ubunge?
 
Lema na sugu ni over 50 hakuna kijana wa umri huu rekebisha andiko
 
Lema na sugu ni over 50 hakuna kijana wa umri huu rekebisha andiko
Hata mimi nikishangaa aise eti Sugu ni kijana ? Lema ana mtoto anaekaribi kuolewa nae ni kijana?
 
Kwa hiyo wewe unaona ni sawa kwa Lema kmwacha wife kwa wazungu wafaidi tu basi
Maskini siku zote ndio anawaza ngono, kuna muda watu wanawaza maendeleo, hivyo ni vikojoleo Tu na viungo vya uzazi.

Naibu Spika Zungu kitambo Sana Mke wake anaishi Uingereza yeye miaka yote anaishi kwenye apartment town kibachela tu.
 
Lema alijipa cheo cha unabii na sasa kajipa uungu. Ukimkera anakuambia UTAKUFA. Ni mtu mpuuzi peke yake anaweza kumwona Lema ana akili.
 
... kwamba Sugu analingishia nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini ...!
hii ndo naisikia leo! 😅😅😅
Toa mifano hai tafadhali!
 
Maskini siku zote ndio anawaza ngono, kuna muda watu wanawaza maendeleo, hivyo ni vikojoleo Tu na viungo vya uzazi.

Naibu Spika Zungu kitambo Sana Mke wake anaishi Uingereza yeye miaka yote anaishi kwenye apartment town kibachela tu.
Kwa hiyo Lema kaiga ujinga wa kutekeleza familia kisa ni siasa za kutaka ubunge ambayo kimsingi ndio ajira kuu ya mzee Lema
 
Lema alijipa cheo cha unabii na sasa kajipa uungu. Ukimkera anakuambia UTAKUFA. Ni mtu mpuuzi peke yake anaweza kumwona Lema ana akili.
Kenge wa CDM wanaamini kuwa huyu LEMA ni Mungu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…