CCM inaumiza sana kichwa"Mfano" mzuri kabisa huu ulioutumia.
Kwa hiyo, hoja yangu ni kuwa hii "dola" ndio watakao lianzisha wakati wa uchaguzi. Hii itakuwa ni sababu halali kabisa ya kuelekea kwenye hatua ya mawazo yako.
Hili la "kususa" kabisa kupiga kura, huku CCM ikhesabu kura zilizofutikwa kwenye masanduku ya kura na kupata ushindi itatufikisha wapi?
That's why I am emphasizing: "By Any Means Necessary"; nothing is excluded.Do you think having CHADEMA's plan of "NO ELECTION IN 2024/25" will work effectively as all cohesive forces support CCM? For me, I think We should first have the whole country's massive demonstration to demand for some REFORMATIONS in Constitution and electoral Committee. By doing that, might be awakening call for international institutions to support Tanzanian citizens.
Usichanganye kususa na kupuuza. Hakuna haja ya kupoteza muda. Njia nyingine ianze mara moja bila kuchelewa."Mfano" mzuri kabisa huu ulioutumia.
Kwa hiyo, hoja yangu ni kuwa hii "dola" ndio watakao lianzisha wakati wa uchaguzi. Hii itakuwa ni sababu halali kabisa ya kuelekea kwenye hatua ya mawazo yako.
Hili la "kususa" kabisa kupiga kura, huku CCM ikhesabu kura zilizofutikwa kwenye masanduku ya kura na kupata ushindi itatufikisha wapi?
Sasa imetufikisha pabaya zaidi, sioni ni kwa vipi itasalimika safari hii ikibaki kama ilivyoundwa sasa hivi.CCM inaumiza sana kichwa
Tofauti ya "kususa na kupuuza", hili nilikuwa sijaliweka maanani.Usichanganye kususa na kupuuza. Hakuna haja ya kupoteza muda. Njia nyingine ianze mara moja bila kuchelewa.
We sexless kweliSukuma gang neema yenu ilizikwa rasmi tarehe 17 March 2021. Hamtakaa mpewe hata ukuu wa wilaya.
Never and never again.
Magufuli alikuwa ni katili snTundu Lissu kumkubali Mwamba Magufuli atajizolea wazalendo wengi ndani ya CCM wanaochukizwa na ufisadi unaoendelea huko
Waambie hao NYUMBU...Hata mungeenda na Putin sijui Obama kamwe hamuwezi kupata Urais .
Lakini hakuuza nchi, alikuwa mzalendo anechukizwa na ufujaji wa mali za taifaMagufuli alikuwa ni katili sn
Si ndani tu ya CCM, bali pia atajizolea umma wa watanzania walioamini ktk falsafa za mzalendo MagufuliTundu Lissu kumkubali Mwamba Magufuli atajizolea wazalendo wengi ndani ya CCM wanaochukizwa na ufisadi unaoendelea huko
HakikaTumechelewa sana, 2025 ni Tundu Lissu "Hapa kazi tu na demokrasia ya kweli"
2025 ni TLSi ndani tu ya CCM, bali pia atajizolea umma wa watanzania walioamini ktk falsafa za mzalendo Magufuli
Tutahama nae kwenda NCCR MAGEUZIWhat if CDM Wana mgombea mpya?
Maana wale Huwa hawarudii mgombea Urais.
SahihiLisu anaweza kutuhumiwa kwa uongo na uzushi anapokuwa kwenye shughuli za kisiasa,lakini siyo mtu anayeogopa kusema kile anachoamini.
Magufuli atabaki kuwa kiongozi bora zaidi TZ kuwahi kupata.