Nimefuatilia na kujiridhisha kwamba SUKUMA GANG twende na Tundu Lissu hakika 2025 tunachukua dola

Nimefuatilia na kujiridhisha kwamba SUKUMA GANG twende na Tundu Lissu hakika 2025 tunachukua dola

"Mfano" mzuri kabisa huu ulioutumia.

Kwa hiyo, hoja yangu ni kuwa hii "dola" ndio watakao lianzisha wakati wa uchaguzi. Hii itakuwa ni sababu halali kabisa ya kuelekea kwenye hatua ya mawazo yako.

Hili la "kususa" kabisa kupiga kura, huku CCM ikhesabu kura zilizofutikwa kwenye masanduku ya kura na kupata ushindi itatufikisha wapi?
CCM inaumiza sana kichwa
 
Do you think having CHADEMA's plan of "NO ELECTION IN 2024/25" will work effectively as all cohesive forces support CCM? For me, I think We should first have the whole country's massive demonstration to demand for some REFORMATIONS in Constitution and electoral Committee. By doing that, might be awakening call for international institutions to support Tanzanian citizens.
That's why I am emphasizing: "By Any Means Necessary"; nothing is excluded.
 
"Mfano" mzuri kabisa huu ulioutumia.

Kwa hiyo, hoja yangu ni kuwa hii "dola" ndio watakao lianzisha wakati wa uchaguzi. Hii itakuwa ni sababu halali kabisa ya kuelekea kwenye hatua ya mawazo yako.

Hili la "kususa" kabisa kupiga kura, huku CCM ikhesabu kura zilizofutikwa kwenye masanduku ya kura na kupata ushindi itatufikisha wapi?
Usichanganye kususa na kupuuza. Hakuna haja ya kupoteza muda. Njia nyingine ianze mara moja bila kuchelewa.
 
CCM inaumiza sana kichwa
Sasa imetufikisha pabaya zaidi, sioni ni kwa vipi itasalimika safari hii ikibaki kama ilivyoundwa sasa hivi.
Labda salama yao inawezekana ikapatikana kwa kunyukana wao kwa wao humo humo ndani kwa ndani na kuyatupa nje machicha.

Hili nalo litawezekana tu, kwa uzembe wa vyama vya upinzani, hususani CHADEMA.

Vinginevyo, hata CCM ifanye sarakasi zipi, safari hii haponi.
 
Usichanganye kususa na kupuuza. Hakuna haja ya kupoteza muda. Njia nyingine ianze mara moja bila kuchelewa.
Tofauti ya "kususa na kupuuza", hili nilikuwa sijaliweka maanani.

Hata hivyo nikiri kutojua tofauti yake, na inavyoweza kuleta matokeo tofauti; moja kati ya hayo maneno likitumika kwenye uchaguzi.
 
1687983026643.png
 
What if CDM Wana mgombea mpya?

Maana wale Huwa hawarudii mgombea Urais.
 
Tundu, nimnafki sana, alishawahi kusema Magufuri kaitia hasara sana nchi kwakuingia mikataba ya hovyo leo anageuka nakutoa sifa
 
Tundu Lissu kumkubali Mwamba Magufuli atajizolea wazalendo wengi ndani ya CCM wanaochukizwa na ufisadi unaoendelea huko
Si ndani tu ya CCM, bali pia atajizolea umma wa watanzania walioamini ktk falsafa za mzalendo Magufuli
 
Lisu anaweza kutuhumiwa kwa uongo na uzushi anapokuwa kwenye shughuli za kisiasa,lakini siyo mtu anayeogopa kusema kile anachoamini.
Magufuli atabaki kuwa kiongozi bora zaidi TZ kuwahi kupata.
 
Lisu anaweza kutuhumiwa kwa uongo na uzushi anapokuwa kwenye shughuli za kisiasa,lakini siyo mtu anayeogopa kusema kile anachoamini.
Magufuli atabaki kuwa kiongozi bora zaidi TZ kuwahi kupata.
Sahihi
 
Back
Top Bottom