CCM inaumiza sana kichwa"Mfano" mzuri kabisa huu ulioutumia.
Kwa hiyo, hoja yangu ni kuwa hii "dola" ndio watakao lianzisha wakati wa uchaguzi. Hii itakuwa ni sababu halali kabisa ya kuelekea kwenye hatua ya mawazo yako.
Hili la "kususa" kabisa kupiga kura, huku CCM ikhesabu kura zilizofutikwa kwenye masanduku ya kura na kupata ushindi itatufikisha wapi?