Anakubalika nyumbani kwako au ?Thu
Thubutu. Msidanganywe na mitandao. Mama anakubalika kila pembe ya nchi. Wakulima huwezi kuwaambia kuhusu mama. Leo nipo hapa singida wakulima wa alzeti na mbaazi wanasema mama aongoze mpaka anifie mwenyewe mana mbaazi Sasa zina soko la uhakika na alzeti pia wakati mazao hayo jpm aliua yote kwa ubabe. Ajira zipo kila Kona ambapo alitengeneza machinga tu kila Kona ya nchi. Vijana wakigeuka nyuma tu Kuna ajira kote serikalini na private sector na wafanyakazi wanaongezewa mishahara Yao kila mwaka kitu ambacho jpm hajawahi fanya. Hivyo usidanganywe na mitandao
Lissu njia nyeupe hakuna cha sukuma gangi wala nini wananchi tunahitaji lissu kuliko wakati wowoteHabari,
Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu.
Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli.
View attachment 2671785
Binafsi nimemfuatilia kwa muda mrefu/ nimejiridhisha na kukubaliana na Baadhi ya wazalendo kwamba twende na Tundu Lissu 2025 popote alipo.
Bila Sukuma gang ni ngumu ni lazima umoja uwepoLissu njia nyeupe hakuna cha sukuma gangi wala nini wananchi tunahitaji lissu kuliko wakati wowote
Have you Asked Yourself:-
1) Under Which Electoral Commission !?
2) And Perhaps Under Which Constitution !?
Acha ubaguziHatutaki chadema yenu hapa, iishie huko huko kaskazini.......kanda ya ziwa na chadema ni mbingu na ardhi, nitamshangaa msukuma aungane na chama hicho.
JPM alinfanyia kazi mzuri sio, sasa yuko wapi? Unataka apoteze muda wake ku justify nini hapo? Hivi ukiwa ccm unapoteza uwezo wa kifikiri uoni Lisu kama anakutete wewe na vizazi vyako mbeleni yaani wewe unatafauti gani na mtu anayeuza nyumba ya uridhi ili pate pesa ya kunywa visungura?Lisu simuelewi katika hilii...
Mtaalamu wa Sheria za mikataba badala uchambue mkataba unatumia dakika tatu knaongea upuuzi kama huo.
Kusema mkataba ni WA hovyo bila justification ni upumbavu mtupu na ndio maana JPM alimfanyia kazi.
Asuburi aone wale wenzake waliopeleka kesi mahakamani kimihemko watakavyoangukia pia.
Hivi maana ya upinzani ni kupinga kila kitu?
Mbona wenzetu hata waliotuletea vyama vingi ikifika issue ya kitaifa wanaungana?
Ninyi ni wajinga tu huwezi kufungua mdomo wakati huna evidence halafu ujitetee Hana haja ya kujistify..JPM alinfanyia kazi mzuri sio, sasa yuko wapi? Unataka apoteze muda wake ku justify nini hapo? Hivi ukiwa ccm unapoteza uwezo wa kifikiri uoni Lisu kama anakutete wewe na vizazi vyako mbeleni yaani wewe unatafauti gani na mtu anayeuza nyumba ya uridhi ili pate pesa ya kunywa visungura?
KabisaTundu Lisu akitubu na kwenda Chato kumlilia Magufuli kwenye kaburi lake ,tutamkubali
Wewe una kipindupindu kichwaniTundu Lisu akitubu na kwenda Chato kumlilia Magufuli kwenye kaburi lake ,tutamkubali
Kumbe mnaoumwa kipindupindu ni wengi yaani huenda ulikuwa milembe wakati magufuli akiwa madarakaniKabisa
Aombe radhi kwanza, yale maneno maneno alikuwa anaongea wakati wa Msiba wa Magufuli yaliumiza wengi,
Yawezekana kwa sasa nia yake ni njema na ni kweli Lissu ni perfect Candidate ila asawazishe mambo kwanza, wafuasi wa Magu tuondoe vinyongo.
Tupo wengi sana kiasi kwamba akisawazisha mambo atakuwa na wafuasi wengine wengi mno.Kumbe mnaoumwa kipindupindu ni wengi yaani huenda ulikuwa milembe wakati magufuli akiwa madarakani
Hayuki stable,huyu alimpinga sana magufuli kuhusu issue ya acacia na acacia wakanyooka,leo anamsifia kimkakati tu ili lengo lake litimieHumjui lissu
Huwezi pendwa na wote na mnaoendelea kumpenda hayati endeleeni ngoja sisi twenda na LissuTupo wengi sana kiasi kwamba akisawazisha mambo atakuwa na wafuasi wengine wengi mno.
Sifa ya presidential material ni lazima uwe mwizi na fisadi kama wengine ?Tundu lisu sio predencial presidential material