Nimefuatilia na kujiridhisha kwamba SUKUMA GANG twende na Tundu Lissu hakika 2025 tunachukua dola

Nimefuatilia na kujiridhisha kwamba SUKUMA GANG twende na Tundu Lissu hakika 2025 tunachukua dola

Thu

Thubutu. Msidanganywe na mitandao. Mama anakubalika kila pembe ya nchi. Wakulima huwezi kuwaambia kuhusu mama. Leo nipo hapa singida wakulima wa alzeti na mbaazi wanasema mama aongoze mpaka anifie mwenyewe mana mbaazi Sasa zina soko la uhakika na alzeti pia wakati mazao hayo jpm aliua yote kwa ubabe. Ajira zipo kila Kona ambapo alitengeneza machinga tu kila Kona ya nchi. Vijana wakigeuka nyuma tu Kuna ajira kote serikalini na private sector na wafanyakazi wanaongezewa mishahara Yao kila mwaka kitu ambacho jpm hajawahi fanya. Hivyo usidanganywe na mitandao
Anakubalika nyumbani kwako au ?
 
Habari,

Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu.

Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli.

View attachment 2671785

Binafsi nimemfuatilia kwa muda mrefu/ nimejiridhisha na kukubaliana na Baadhi ya wazalendo kwamba twende na Tundu Lissu 2025 popote alipo.​
Lissu njia nyeupe hakuna cha sukuma gangi wala nini wananchi tunahitaji lissu kuliko wakati wowote
 
Lissu njia nyeupe hakuna cha sukuma gangi wala nini wananchi tunahitaji lissu kuliko wakati wowote
Bila Sukuma gang ni ngumu ni lazima umoja uwepo
 
Hatutaki chadema yenu hapa, iishie huko huko kaskazini.......kanda ya ziwa na chadema ni mbingu na ardhi, nitamshangaa msukuma aungane na chama hicho.
 
Lisu simuelewi katika hilii...
Mtaalamu wa Sheria za mikataba badala uchambue mkataba unatumia dakika tatu knaongea upuuzi kama huo.
Kusema mkataba ni WA hovyo bila justification ni upumbavu mtupu na ndio maana JPM alimfanyia kazi.
Asuburi aone wale wenzake waliopeleka kesi mahakamani kimihemko watakavyoangukia pia.
Hivi maana ya upinzani ni kupinga kila kitu?
Mbona wenzetu hata waliotuletea vyama vingi ikifika issue ya kitaifa wanaungana?
 
JPM alinfanyia kazi mzuri sio, sasa yuko wapi? Unataka apoteze muda wake ku justify nini hapo? Hivi ukiwa ccm unapoteza uwezo wa kifikiri uoni Lisu kama anakutete wewe na vizazi vyako mbeleni yaani wewe unatafauti gani na mtu anayeuza nyumba ya uridhi ili pate pesa ya kunywa visungura?
 
Ninyi ni wajinga tu huwezi kufungua mdomo wakati huna evidence halafu ujitetee Hana haja ya kujistify..
Leta hoja tumuelewe mbali na hapo ni kelele za kawaida za kisiasa.
Mwanasheria anajenga hoja si porojo kama hivyo.
 
Kwa jinsi alivyoibeza Maiti ya Magufuli wakati anaagwa, Sina hamu naye tena.
 
Tundu Lisu akitubu na kwenda Chato kumlilia Magufuli kwenye kaburi lake ,tutamkubali
Kabisa
Aombe radhi kwanza, yale maneno maneno alikuwa anaongea wakati wa Msiba wa Magufuli yaliumiza wengi,
Yawezekana kwa sasa nia yake ni njema na ni kweli Lissu ni perfect Candidate ila asawazishe mambo kwanza, wafuasi wa Magu tuondoe vinyongo.
 
Tundu lisu sio predencial presidential material
 
Kabisa
Aombe radhi kwanza, yale maneno maneno alikuwa anaongea wakati wa Msiba wa Magufuli yaliumiza wengi,
Yawezekana kwa sasa nia yake ni njema na ni kweli Lissu ni perfect Candidate ila asawazishe mambo kwanza, wafuasi wa Magu tuondoe vinyongo.
Kumbe mnaoumwa kipindupindu ni wengi yaani huenda ulikuwa milembe wakati magufuli akiwa madarakani
 
Kumbe mnaoumwa kipindupindu ni wengi yaani huenda ulikuwa milembe wakati magufuli akiwa madarakani
Tupo wengi sana kiasi kwamba akisawazisha mambo atakuwa na wafuasi wengine wengi mno.
 
Back
Top Bottom