- Thread starter
- #81
Anakubalika nyumbani kwako au ?Thu
Thubutu. Msidanganywe na mitandao. Mama anakubalika kila pembe ya nchi. Wakulima huwezi kuwaambia kuhusu mama. Leo nipo hapa singida wakulima wa alzeti na mbaazi wanasema mama aongoze mpaka anifie mwenyewe mana mbaazi Sasa zina soko la uhakika na alzeti pia wakati mazao hayo jpm aliua yote kwa ubabe. Ajira zipo kila Kona ambapo alitengeneza machinga tu kila Kona ya nchi. Vijana wakigeuka nyuma tu Kuna ajira kote serikalini na private sector na wafanyakazi wanaongezewa mishahara Yao kila mwaka kitu ambacho jpm hajawahi fanya. Hivyo usidanganywe na mitandao