Nimefukuzwa kazi kisa kugoma kumfatia bosi vitumbua vya mia tisa

Wafanyakazi kama ww nawafahamu sana. Wala sio vitumbua tu. Wewe asili yako ni mbishi. Hakuna boss anayetaka mfanyakazi mbishi. Umebisha mambo mengine mengi na sio hilo tu. Unaajiriwa ili usaidie kazi ikiwa ni pamoja na kutumwa. Boss ana mambo mengi. Na maybe alishindwa kwenda yeye kununua kitafunia cha breakfast. Watu wote wako chini yake. Ulitakiwa umsaidie.
 
KUNA MAMBO MENGI UNETUACHIA MASWALI


HUJAJIBU MASWALI MENGI PIA



UKO SHALLOW



UTAJUTA MAISHA YAKO YOTE SISI MTAA I TUNAHANGAIKA KUPATA MICHONGO TEETH ALAFU USKIE KUNA WATU WANAGOMAGOMA KITU AMBACHO NI LEGAL
 
Tatizo watu wanaoleta mada za ajira humu hata ukimuuliza nini maana ya neno "ajira' hajui! Kelelenyiiiingi kutwa anashinda kwenye vijiwe vya bodaboda!
 
Ulikuwa katika nafasi gani hapo ofisini?
 
Endelea kupendekeza na mashati yako sasa.
 
Kama ulikubali kipengele kwenye mkataba kinachosema "pamoja na kazi nyingine kama utakavyopangiwa na mwajiri wako", hicho ndicho kilichohalalisha kufukuzwa kazi.
 
Kuna statement moja kwenye barua za kuajiliwa zinazotaja majukumu yako, huwa tunazichukuliaga poa sana kwa wakati huo. Lakini huja kutukaba baadaye.... nanukuu... NA KAZI NYINGINE UTAKAZOPANGIWA NA BOSI WAKO... mwisho wa kunukuu...

Kwa mchecheto wa kupata kazi baada ya kuwa umesota vya kutosha, huwezi ipinga hiyo statement... LAKINI UKIWA UMECHOMEKEA MASHATI YA KUWAKAWAKA, unaanza kuona si sawa kutumwa kazi nyinginezo na bosi wako....

HAYA UMECHUKIA FEDHEHA ILIYO NDANI MAJUKUMU YAKO, SASA UNAENDA MTAANI KIPATA FEDHEHA USIYOITARAJIA NA HAIJAANDIKWA POPOTE
 
Nimeupenda msimamo wa boss wako! Dawa ya vijana jeuri ni hiyo tu hakuna namna! Hii inanikumbusha mwaka 2005 kibaka mmoja eti akaja na suti ofisini wakati sisi tulikuwa watu wa field, akajitia ujuaji kupiga suti eti anikoge mimi boss wake! Sasa kimbembe kikaja umeme ukakata na generator halina mafuta, gari nalo limetoka nje hakuna usafiri, ikabidi nimbebeshe dumu lakubebea mafuta na suti yake! Hebu piga picha dumu liko kwenye mfuko wa Rambo (enzi hizo) na suti yako! Nilimkomesha siku hiyo! Hakurudia tena kuvaa suti, nyoko kabisa!
 
Sawa, Bosi wako anakutuma unakataa?

Nenda kaning'inize tai mtaani?
Kuna nyakati bosi amekutafuta weeeeee kakukosa sasa anajaribu kila turufu.
Hawa mabosi ni kuwakumbusha tu kuwa cheo ni dhamana.

Si kila unachotumwa na bosi wako lazima ukubali kuna vingine inabidi usimamie utu wako

Hapo juu ni matokeo ya udhalilishaji,
Wapo wafanyakazi kwa nidhamu zao za uoga na kuwaona mabosi kama miungu watu wameishia pabaya

Mathalani
Umewahi kusikia :-
Bosi amewafanyia unyanyasaji wanawake? Yani anamtongoza mfanyakazi wake akitaka amkatae ili aanzishe chokochoko za kumfukizisha kazi, lakini mwanamke anaona kama ulivyoona wewe akikubali bosi anatafuta visa vingine anamuomba na kinyume na maumbile yani tigo hapo akikataa tuu anatafutiwa chaka lingine.

Mwisho wa siku kuna kipindi unahitaji kuulinda utu wako kwa gharama yoyote ile.

Ukiwachekea hawa mabosi matokeo yake ni mabaya saana

Kwa tafiti zisizo rasmi
Ushoga ulioenea hapa nchini chanzo kikuu ni nidhamu ya uoga wa vijana wafanya kazi kwa mabosi wao. Mathalani kijana anaombwa tigo kimasihala akiahidiwa na pesa nyiingi na anaambiwa asipofanya hivyo kazi hana. Wengi wamejikuta wanatoa tigo ili kulinda kazi zao.
 
Haya mabo sio ya kuchekea hata siku moja

Na si afya kwa masilahi mapana ya taifa.

Kwa vigezo hivi wafanya kazi wa wahindi na waarabu wamejikuta wakigeuzwa nyuma kisa huu huu upuuuzi wa kumuona bosi ni Mungu
yoko kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…