MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Kuna huyu Maxence Melo huyu brother mwana sana tofauti na nilivyokuwa namfikiria kuwa atakuwa mtu wa mivimbo sana kumbe la hasha......Mungu amuweke sana aiseeNimewai kua sehemu moja na Abbas Tarimba dah jamaa ni mtu na
Msitaarabu sana
Halafu ana shavu la kifisadi.VYEMA KUTOKWENDA KWENYE HILO DUKA TENA.
KWA MUJIBU WA GOOGLE HUYU NDIO F.SANGA
View attachment 2773433View attachment 2773434
Yaap anajiamini!anajua mtaenda tuLitakuwa duka la nyota 5, plus na mambo ya asili si unajua watanzania wenzetu hao hata Kama ujapanga kwenda dukani unaweza jikuta umeenda tu
Mwenye duka na mbunge walipanga hiyo kitu 😂Kinachonishangaza ni sijajua,mbunge ndio alitaka watu wafukuzwe au ni kiranga tu Cha mwenye duka
Kama ni kweli hilo tukio ningewaambia pale pale sikanyagi tena dukani kwaoPesa ninazo la kusomba hata duka zima, nilienda tu kumuunnga mkono Mkinga mwenzangu, ni wao walionialika nikanunue kwao na walinipa catalogue [emoji415] book yao
Ni mbunge wa wapi huyo Tarimbo?Nimewai kua sehemu moja na Abbas Tarimba dah jamaa ni mtu na
Msitaarabu sana
Kwa Bongo kada wa chama tu wanafunga hata hospital mpaka atoke kwanzaMalkia sawa ila deo darasa la pili B Kisa mbunge tu,PM wa England tu duka halifungwi
Wamezingua sana!wamemvunjia sana heshima Tajiri mkuu wa MatajiriM
Mwenye duka na mbunge walipanga hiyo kitu 😂
Watu wa marketing tush mstukia kitambo..WE lipia Tangazo
Marketing ya CBE😅😅Watu wa marketing tush mstukia kitambo..
Anaonekana mbugila kabisaVYEMA KUTOKWENDA KWENYE HILO DUKA TENA.
KWA MUJIBU WA GOOGLE HUYU NDIO F.SANGA
View attachment 2773433View attachment 2773434
BillLugano aka KIDUKULILO atakuja kukueleza alicho kifanya kwa muuza samaki mmoja pale FERRY.Shame on me. Juzi nilipata mwaliko na catalogue ya duka la KENE BEI BURE nikaona suti fulani na nguo fulani nzuri sana. Nikawapigia simu kwamba leo Ijumaa saa nne asubuhi nitaenda kulipia.
Lèo nimeenda, saa nne kamili kuchukua mzigo wangu. Nikaingia kwenye shelves, nikachagua nguo nizitakazo.
Nikiwa kwenye dawati la malipo, ndipo akaja supervisor na kuniambia sitakiwi kununua chochote hadi mbunge Festo Sanga anunue kwanza.
Huu ni upumbavu namba moja kwenye ulimwengu wa biashara na soko huria.
View attachment 2773410View attachment 2773412View attachment 2773413
Sitoenda enda tena, leo nimedhalilika sanaVYEMA KUTOKWENDA KWENYE HILO DUKA TENA.
KWA MUJIBU WA GOOGLE HUYU NDIO F.SANGA
View attachment 2773433View attachment 2773434
Ananunua samaki Ferry au ana meli zake za uvuvi?BillLugano aka KIDUKULILO atakuja kukueleza alicho kifanya kwa muuza samaki mmoja pale FERRY.
Kwanza ubunge ni kujua kusoma na kuandika tu.We hujitambui, mbunge ni huko kwa wapiga kura wake, alafu wabunge wenyewe wa CCM, elimu hawana, akili hawana, wazinzi tu hao na wabinafsi, huyo juzi tu mange Kam expose umalaya wake, hawa ni watu nchi zingine wananchi wanawafukuza au kumalizana nao kabisa. Hawa wanafuja pesa za umma kufanya umalaya ,huku familia za wengine zinateseka huku wao wanatibiwa nje.
Ahahaa....ya pale kurasini TIAMarketing ya CBE😅😅