Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

Ila Kuna mwamba anatoka Dom saa tano usiku kakuambia mcheki basi urudi,ukikutana nae na huakika akileta mrejesho itajulikana mbele kwa mbele
 
Binafsi sipendi mgeni asie na ratiba ya kuondoka nikimleta ghetto, namkumbuka mtu aliependa tukae chumba kimoja hata pale ambapo ilipatikana fursa ya yeye kukaa chumba chake, jamani kuna jamii za watu/ makabila ni bahili, sijui alikuwa anadhamili anichunguze anijue, sitasahau. as life unfolds he has never been a good person to me anyway, he doesnt share his secrets but he likes knowing a lot about others.
 
Lkn ni unyama, maisha ni mzunguko wa ajabu sana.
Leo kwa huyu kesho kwake.

Utashangaa sana huyu jamaa siku akitoboa na jamaa yake aweza kuwa na wakati mgumu kiasi cha kuhitaji msaada kwa huyu
ukiona tukio kama hili hawana urafiki, kuna mmoja kaungwa na jamaa kwa mwenzie, au kuna wale matozi wasiochangia chochote pesa wanazo, au uko bwege lakini ni nyoka unatamani demu wa mwenizo, au mdokozi, au story za kujigamba nyingi, kuvaa kwing, bando la simu full, lakini gheto huna mchango wowote, unakaa kwangu halafu unanisengenya san. huyu mwamba anatakiwa aongeze nyama kwenye story yake ikamilike
 
Why vijana mmekuwa depressed Sana Ni life limewachapa au stress?

Ukiishi gheto na thug mwenzio Mwambie Mapema kuhusu vitu vya msngi ili ikifika Muda wake achimbe in peaceful way
 
Watu wa dar ndo walivyo....uhuni uhuni
 
Nenda hata kituo cha police weka mambo yako sawa, police wanaweza kukuombea gari yeyote ukafika dar usipoteze muda
 
Why vijana mmekuwa depressed Sana Ni life limewachapa au stress?

Ukiishi gheto na thug mwenzio Mwambie Mapema kuhusu vitu vya msngi ili ikifika Muda wake achimbe in peaceful way
hivi unawajua wenye tabia za uparasite? scenario zipo nyingi sana, mimi haitotokea kuishi na mtu ghetto moja, hata kushare sitting room na mwanaume siwezi, watu ni wabaya, nshamkaribisha mtu baada ya a level tunapiga tempo za kufundisha, napata mshahara napendeza san, mwana tuko nae job, sasa nikawa mzuri wa kulenga nguo pale dox, makunguru, i was good, sasa msela badala ya kuuliza tu kumbe wivu umemjaa kinoma, mimi nisijue, kumbe moyoni anaushindani. kama best nikamkaribisha nyumbani, ile tumelala usiku jamaa nikastukia kaamka anatoa viatu, raba zangu uvunguni anakagua na kushangaa, Mungu alinipa subra, ila baadae kumekucha nikamwambia nimeona kila kitu ulichofanya, dhamira yako nini, mimi nina roho nzuri unachotaka nikuuzie sema tu mi ntatafuta kingine usiwe na shaka. damn kuna watu akiwa mchawi hawasaidiki kamwe. si kila mtu ni mbaya ila wabaya husogelea wenye nacho ili wafanye yao.
 
God works in mysterious ways
 
Maisha haya doh,inafika hatua unaungama kwa polisi wakusaidie.mwanetu mungu amsaidie ikiwezekana akalale stendi halafu asubuhi aamkie ustawi wa jamii watamsaidia
 
Hii inanikumbusha story iliyobamba humu jamvin ya JF person of the year 2022 master mpwayungu village safari ya lindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…