Uchaguzi 2020 Nimefurahi wimbo huu kuwa rasmi wa kampeni CHADEMA

Hivi ule wimbo wa CHADEMA CHADEMA peoples power mmeupeleka wapi CDM?.

Ulikuwa mzuri zaidi ya huu.

Ila nyimbo zote zitaimbwa lakini CCM mbele kwa mbele wa marehemu Komba ni baba lao.

Acha waisome nambaa eee waisome nambaaa....[emoji3][emoji3]
Mbona upo? Umepigwa sana kwenye kampeni hizi. hta kule Tarime, Geita ulipigwa sana hzi kampeni unless unafuatilia kampeni ukiwa unategemea TBC.
 
Hilo la mikutano una maanisha "nyomi" au? Kama ni hivyo waulize waasisi wa kuzungusha mikono 2015.

Nyie ngojeni muone Watanzania watakavyompa kura za kishindo JPM na nina imani hili litakuwa funzo mtakalojifunza kwa miaka mingi ijayo.

Ila hilo jisongi uchaguzi ukiisha tutawachangia kama litawasaidia kuwapunguzia machungu.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Sema atatangazwa tu
 
YES,,,bonge la idea........

Natamani wazo hili lifanyiwe kazi, tena kwa haraka zaidi
 
Nani aliyekwambia 2015 hatukushinda? Mnapenda kurudia hii hoja sana wakati mnajua ukweli wa kilichotokea mlipovamia Tallying center mbili ya UKAWA na THRDC. Kma huna taarifa usiwe unaropoka tu.

Alafu nyomi ya 2015 ilikua halala maana CHADEMA walifanya M4C kila mwezi kupitia kanda zao so mikutano na kampeni zilikua kila siku kiasi CHADEMA ikafahamika mpaka maporini. Ila 2015-20 hakuna mikutano wala vikao vya ndani so maeneo kma Rukwa/Tabora/Mpanda ambako hatuna mbunge hata mmoja hawakuwahi ona mkutano wa kuuza sera za CHADEMA sasa ulitegemea Lissu alipoenda akute nyomi ni kitu kidogo? Msilinganishe situations ni tofauti kabisa, imagine tumekimbiwa na wabunge kibao na madiwani zaidi ya 200 nani alijua kampeni za Lissu zingepata momentum hivi? Was that the exact situation back in 2015?

Be reasonable
 
Chief, nawezaje kuudownload huo wimbo....?
Kiukweli una mzuka sana...tutautumia kwenye kampeni za madiwan wetu huku Mara
 
Magufuli hazidi asilimia 30 za kura za mwaka huu. Kubali kataa. Lissu atamchakaza vibaya saaana!!
 
Magufuli hazidi asilimia 30 za kura za mwaka huu. Kubali kataa. Lissu atamchakaza vibaya saaana!!
Mkuu tusubirie October 28 yaani CCM itawapa somo zuri sana.

Ni ushindi wa kishindo kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Chief, nawezaje kuudownload huo wimbo....?
Kiukweli una mzuka sana...tutautumia kwenye kampeni za madiwan wetu huku Mara
Huu mpya bado haujatoka public, utazinduliwa Lissu akisimama tena jukwaani.
 

Previously nyimbo ilikua ya kampeni za Msigwa ila naona umeboreshwa uwe wa kitaifa. Unanibamba sana, inapaswa baada ya campaign uchukue nafasi ya ''one love'', inasaidia zaidi branding ya chama.

Source:

Yericko Nyerere toa mchanganuo wa matumizi ya hizo fedha tulizochanga kuboresha wimbo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…