Uchaguzi 2020 Nimefurahi wimbo huu kuwa rasmi wa kampeni CHADEMA

Amini amini nakwambia Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu
Wewe jamaa una high spirit ila ukweli ni kwamba Lisu atashindwa vibaya sana.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Hii nyimbo tutaiimba huku tukibubujika machozi na kukimbia katika maeneo mbalimbali ya Tanzania tukisherekea ushindi hapo mwezi November mwaka huu.

Kama Mungu Mwenyezi Muumba wa mbingu na ardhi aishivyo lazima hili litokee kwa Jina la Yesu!

Huu wimbo ukikarabatiwa na kuwekwa maneno ya kuhamasisha na kusherehekea ushindi wa Chadema na waTanzania dhidi maCCM na mfumo dola unaoongoza, utakuwa ni wimbo wa kushangilia ukombozi!
Kudos!
 
Mbona wimbo bado unamtaja Msigwa mwanzo mwisho? Inakuwaje uwe wa chama huu?

CHAUMA tunakuja na bonge la song soon.
 
Wewe jamaa una high spirit ila ukweli ni kwamba Lisu atashindwa vibaya sana.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Take it from me!! Kuliko hii nchi kuwekewa vikwazo na kuwa Zimbabwe part II wenye akili wote wameona bora apewe Lissu wamuongoze aweke mifumo imara ambayo itamdhibiti Raisi.

Jiwe akirudi tena watu wengi sana atawaua kwa visasi na chuki ikiwemo vigogo wa CCM na pia nchi itakuwa kwenye wakati mgumu kutokana na vikwazo !!
 
Wimbo mzuri. Huo ulioboreshwa uko wapi? Katika kuboreshwa ungetaja mikoa yote Tanzania
 
Mbona wimbo bado unamtaja Msigwa mwanzo mwisho? Inakuwaje uwe wa chama huu?

CHAUMA tunakuja na bonge la song soon.
Soma uzi uelewe unaambiwa umefanyiwa remix baada ya michango ya wanachama
 
Wimbo mzuri. Huo ulioboreshwa uko wapi? Katika kuboreshwa ungetaja mikoa yote Tanzania
Utazinduliwa kwenye awamu ya 3 ya kampeni za Lissu. Since amepigwa ban basi utakua released sio muda mrefu
 
Mkuu huu ni ule wa iringa this time wanauboresha uwe wa taifa sasa na niliona yeriko alisema uko tayari hope utakuwa hatua za mwisho kabisa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ule " Tundu lisu wapeleke mchakamcha " nani kautunga ? Ule wimbo ni babu kubwa maana kweli TL anawapelekesha kuazia mwenyekekit wa chama jiwe, viongozi wa time, IGP hadi makada wa ccm huko chini
 
Ingia websites ya CHADEMA andika haya maoni

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ule " Tundu lisu wapeleke mchakamcha " nani kautunga ? Ule wimbo ni babu kubwa maana kweli TL anawapelekesha kuazia mwenyekekit wa chama jiwe, viongozi wa time, IGP hadi makada wa ccm huko chini
MC Mwingira anaitwa.
Huu wimbo ume-fit haswaa kwa mgombea husika.
 
Mkuu huu ni ule wa iringa this time wanauboresha uwe wa taifa sasa na niliona yeriko alisema uko tayari hope utakuwa hatua za mwisho kabisa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Ni jambo jema sana kamanda angu but nilitaka tu kuonesha asili yake. Nimependa sana jamaa aliyeimba kapita mulemule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…