Uchaguzi 2020 Nimefurahi wimbo huu kuwa rasmi wa kampeni CHADEMA

Ole Gunnar Out! He must go. Samahani lakini
 
Mkuu tusubirie October 28 yaani CCM itawapa somo zuri sana.

Ni ushindi wa kishindo kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Labda ushindi wa kutumia njia nyingine sio sanduku la kura manake mpaka sasa mnapumulia mashine
 
Uko wapi sasa tuanze kukariri mabeti. Unafaa kusomba watu mtaani kuelekea ikulu
 
Mkuu winbo huo umehaririwa upya, ulipelekwa studio jana, utakuwa kampeni kitaifa
 
Hii nyimbo tutaiimba huku tukibubujika machozi na kukimbia katika maeneo mbalimbali ya Tanzania tukisherekea ushindi hapo mwezi November mwaka huu.

Kama Mungu Mwenyezi Muumba wa mbingu na ardhi aishivyo lazima hili litokee kwa Jina la Yesu!

Ni "huu wimbo" siyo "hii nyimbo"
 
Kuna thread hapa niliweka lakini nadhani umefutwa. Nilipendekeza utengenezwe mwenge, upewe jina la uhuru haki na maendeleo ya watu. Kuna mzee alikuwa anachonga mienge ya CCM atafutwe. Uandaliwe ujumbe maalum wa kuwapelekea wapiga kura. Siku zilizobaki ukimbizwe katika majimho yote ya uchaguzi. Hakuna kulala. Kati ya walioenguliwa na tume iundwe timu ya kuukimbiza nchi nzima, kumbuka hawa wanamachungu ya kukatwa watafikisha ujumbe vilivyo. Huo wimbo ndio utoe hamasa na amsha amsha. Hii itaziba nafasi ya wasanii na kuziba pengo maeneo ambapo Lisu hakufika.
Peopleeeeeesssss!!!
 
Una impact gani? Maana Chadema hii haitakasiki hata ka mafuta ya mawese.
 
Jadi hubadirika, kamuulize baba yako bado ana tambika?
Hubadirkaje nielimishe maana mimi ninachojua mila na desturi huwa zinaboreshwa zaidi sio kubadilika..Mmasai anaweza kuacha kuvaa lubega lakini hiyo haimbadilishi kuongea kimasai na kuwa kabila la Mmasai.

CCM inaenda kushinda kwa kishindo.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…