Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

Khaa! How absurd is your question. Kwa hiyo birthday yako kwa mfano ina maana gani?
Na Scientifically ulimwengu wote kwa pamoja una mwanzo. Tunatofautiana tu ulianza lini na ulianzaje. Lakini kuwa una mwanzo hilo swali lilishakuwa settled long ago!
Hahaha! Mimi nilikuwepo kabla ya hiyo unayoita birthday yangu.
Ulimwengu kuwa na mwanzo haina maana na mimi nina mwanzo.
 
Sasa unapinga hadi kuhusu bible ndg?
Aliye sema aliyeweka hivyo vitabu kwenye biblia na kukiita
kitabu kitakatifu ni nan?
Aliyeamua aweke vitabu gani kwenye biblia ni nan kama sio vatican?
 
Yani siku biblia ikisema hakuna moto wafia dini hawataimba tena hizi nyimbo za kumpenda Mungu,
Naona napoteza muda tu na mfia dini yake. Naona umegeuka kuwa msemaji wa wanaompenda Mungu duniani!
Hahahaaaaa!
mnaongozwa na hofu wala sio mapenzi ya dhati na Mungu wenu.
Ndio ujinga uliomezeshwa? Mbona kuwa mwongo kama baba yako ibilisi?
Kwa taarifa yako moto hata uondoke Yesu ni wangu milele. Huwezi kunitenga naye wala huo moto wako hauwezi!
Utoe kama unaweza, hata sina mpango nao. Anayapaswa kuwa worried na kutishwa na huo moto ni wewe hapo.
 
Shtuka ndg.
Huyo ni mtakatifu Agustino.
Mwandishi wa vitabu vingi vya wa-catholic.
 
Sasa unapinga hadi kuhusu bible ndg?
Aliye sema aliyeweka hivyo vitabu kwenye biblia na kukiita
kitabu kitakatifu ni nan?
Aliyeamua aweke vitabu gani kwenye biblia ni nan kama sio vatican?
Jibu Vatican waliandika Biblia lini? Naona stori za vijiweni kuwa Biblia iliandikwa katika Halmashauri ya Nicea (again hata sio Vatican) mwaka 325 zimekuingia. Inawezekana ulisikia kwa mbali ukaona ni Vatican. Nimekurahisishia anzia hapo kwenye Council of Nicea, 325 halafu endelea kuanzia hapo. Ukishaupata ukweli rudi hapa waambie wenzako...
 
Hahaha!!! ibilisi na moto ni mind illusion ndg.
The greatest fear is the fear of the unknown.
 
Kabla ya mwaka 300AD. kulikuw na biblia?
 
Possibly hujakaa hata maktaba ya dini yeyote kusoma vitabu ila ni mfia dini mzuri.
 
Kama unaamini haya unahitaji msaada mkubwa!

Ulikuwa unaishi wapi kabla ya ulimwengu kuwako? Au ndio ushajiunga na wale wa dini ya mungu ni energy so ulikuwa part of that reservoir?
Hahaha! your mind creates illusion kweli.. so wewe unajua kila sehemu unapokuwepo unakuwa unaishi
 
Possibly hujakaa hata maktaba ya dini yeyote kusoma vitabu ila ni mfia dini mzuri.
Wewe uliyekaa ndio hujui hata kuwa Vatican haikuwepo mwaka 325 ambao ndio ulikuwa unasema kuwa waliandika Biblia?
Hiyo library imekusaidiaje kama basics kama hizi unakuwa mweupe?

Halafu kufia dini ubaya uko wapi? Walishauawa Wakristo wengi tu kwa sababu wauaji hawakutaka kusikia ukweli so sioni shida kuifia imani!
 
wao na umaarufu wao walikataa uwepo wa Mungu ila baadae walikiri Mungu yupo na kujenga makanisa sasa wewe ni nani ukatae Mungu hayupo?
Hatusemi Mungu hayupo eti kwasababu watu fulani smart wanakubali kua Mungu yupo

Tuna record za watu smart kuamini vitu vya uongo ambavyo havijawahi kuwa kweli

Kuna miaka watu smart waliamini jua linazunguka dunia, lakini haikuwa hivyo eti kwakua watu smart wameamini hivyo.

Labda uniambie watu fulani wamesema Mungu yupo kutokana na uthibitisho huu na huu hapo nitajikita kuangalia huo uthibitisho na ukiwa wa kweli sio nita amini bali nitajua
 
Unataka iwepo jina au?
Vatican ya sasa ndio Roma empire hiyo.
 
Unafiaaje kitu ambacho hakipo?
 
Nimekuuliza kabla ya 300AD bible ilikuwepo?
Nimekujibu katafute jibu! Usitake free ride
unaujua mkutano wa Nicea?
Si mimi ndio nimekwambia hapo juu baada ya kudai ni Vatican ndio waliandika? Au mara hii umeshasahau?
Acha kukwepa maswali ndg.
Acha uvivu. Nikupe hint nyingine (japo utakuja kunipiga nazo mkwara mbuzi). Iranaeus, Tertullian, Clement of Rome
Sasa acha maswali yasiyo na msingi, kafanye hoework yako. Ukimalia uje uwaeleze wenzako wenye mawazo kama yako umegundua nini!
 
Hapo ndo mnapo feli, mnajenga msingi ambao hamtaki kumaliza nao

Tukikubali kua kila kitu kina chanzo unaweza kutuhakikishia kwamba huta sita utuambia chanzo kilicho sababisha huyo mtengeneza simu akawepo?

Kama utasita basi utakuwa umejenga hoja kwa msingi wa kihuni
 
Zaburi 14:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…