Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

Duh hatari kubwa japo pumzi ndio inakupa jeuri ya kusema hayo yote
 
Tangu zama za kale vita nyingi zilikua kwaajili ya kumiliki..ardhi..na kusambaza dini husika..

Silaha kutengenezwa na sayansi..ni matakwa ya kiimani kujilinda au kisiasa..kinachowatesa nchi za mashariki ya kati na kwengineko kupitia magaidi..ni power ipi ipo nyuma inayodrive hayo mapambano kama sio dini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Nyie watu mnaoamini dini mna vituko sana kwahiyo wewe una amini kabisa Dunia,Nyota,jua,mwezi viliumbwa na huyo Mungu au sio?
Hahahaha wewe ndugu hivyo vitu havijaumbwa na kiumbe yeyote anayeitwa Mungu mna Elimu duni sana niamini Mimi huu ujuha waliamini watu wa kale wasio jua lolote kuhusu ulimwengu
Na Bado mpaka Leo Karne ya 21 unaamini kabisaaaaa

Hivi vituko aiseee hivi nyie hizo dini zimewapumbaza kiasi Gani halooo!
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Mungu yupo au hayupo inategemeana na uwezo wako wa ufahamu
 
Silaha zinatengenezwa ili kuuzwa na watu wanatajirika hata hao unaosema wanapigana kwa sababu za dini hawatengenezi wenyewe silaha bali wananunua ila hao wanaowauzia hawaonekani kuwa wabaya. Dunia yetu hii tumewahi kuwa hadi na vita mbili za dunia na si kwa sababu ya dini na silaha zilizotumika kuulia watu ni katika matunda ya sayansi, leo huko marekani kununua silaha ni kama kununua pipi na matokeo yake watu wanauwana tu kuna biashara nzuri sana kwenye uuzaji wa silaha ila haya wewe huyaoni unawaangalia waarabu tu huko ambao wanauziwa silaha ili wakauwane.
 
Kwaio waarabu wapo sahahi?
Wamarekani hawapo sahihi?
 
Bora uamin alaf ufate alaf siku ikitokea unakuta mungu ayup km unavoamn ww sio mby utopungukiwa ktu sas asume umeamn km unavoamn wew alaf umeish km mnyama final unakuta mungu yupo na auna jema lolot uliofany itakuaje c hasara alaf knachokushnda ww unatak uish km wazungu ila mungu alileta din as a user manual ili ufate instructions upate kufaul sio ukifat au ucpofat ye hana shida anajtosha sie ndio weny kuhtajia ht mjapan anaunda gar ila anakup muongozo umwage oil na muongoz wa safety lakn gar lako mwenyew lakn ili lidum na ww lisikuletee tab lazm ufate user manual ya factory sas unaona ajab vp mungu kakuumba ww na akakupa muongozo ufate upate kufaul? Din isio na shaka ni uislam wenye kusirim ni wenye akil kasome na angalia vtab vyote utagndua kisio na shaka ni quraan fata muongozo kuna makusudio ya kuumbwa
 
Kwaio waarabu wapo sahahi?
Wamarekani hawapo sahihi?
Hao waarabu wanaouwana iwe kwa kutumia dini au ukabila hawako sahihi ila na wamarekani wanaowaizia hizo silaha pia hawako sahihi na ndio wabaya zaidi huwezi ukawa unatengeneza kitu ambacho unajua kabisa kinaenda kutumika kwa mauwaji.
 
Hata ukiwa na uthibitibo huwezi kuwa na shaka
Hapana, unajua kabisa kwamba kuna uwezekano wa kufojiwa kwa ushahidi hivyo unaweza ukapewa uthibitisho wa jambo ila ukawa unafikiria kuwa asije akawa kafojisha hivyo ukawa una mashaka pamoja na kuwa una uthibitisho.

Kwahiyo uthibitisho unaweza ukakuondolea mashaka ila unaweza ukabaki na mashaka hali ya kuwa uthibitisho upo.
 
Sijaelewa hoja yako.

Kwa kifupi ni kuwa mimi naona dini ina maslai mapama katika maisha ya mwanadamu.Iwe Islam iwe Hindu na hata Feeemason.

Upagani hauna faida yotote kwa mwanadamu.Ni hilo tu
 
hivi unaelewa uthibitisho una hakikiwa?
 
Sijaelewa hoja yako.

Kwa kifupi ni kuwa mimi naona dini ina maslai mapama katika maisha ya mwanadamu.Iwe Islam iwe Hindu na hata Feeemason.

Upagani hauna faida yotote kwa mwanadamu.Ni hilo tu
Maslahi yapi?

Nimekuonesha hapo kina king lepold ii namna alivyoua mamilioni ya watu kwa kutumia vifungu vya biblia, je hiyo kwako unaona ina maslahi?

Sijui kwanini unatumia neno "upagani" unapojadiliana na mimi atheist wakati kimsingi neno "mpagani" humuwakilisha mtu anaye abudu miungu potofu
 
Sasa tutumie neno kuwaita watu wanaompinga Mungu zaidi ya wapagani??

Faida ya dini iwapo Mungu yupo au hayupo ni kuimarisha maisha ya kijuimuiya ( Community ties).Binadamu ili aishi maisha ya furaha ni lazima awe karibu na wenzake.Upagani unapinga watu kujumuika.Wapagani hawana makanisa wala jumuiya.Wanakutana Online kupinga Mungu.Je misiba ya kipagani imaendeshwaje? NDOA ZAO zinaendeshwa kwa taratibu gani?

UPAGANI NI TAKATAKA
 
Kwa hiyo mkuu unaamini dunia, binadamu, wanyama na kila kilichomo vimetokea by chance, yaani nature ndo imeamua binadamu, wanyama na viumbe wengine watokee from nowhere.........kuwa makini kuhusu mitazamo yako, na tambua uwepo wa Mungu Mkuu kwa kujifikiria tu mwenyewe namna ulivyojikuta tu unaishi na kuwa na sifa zote za mwanadamu, jambo ambalo ni muujiza...........​
 
Hakuna kiumbe alimuumba Humanoids yeyote hizo hekaya za wayahudi na waarabu peleka Huko huko makanisani na misikitini kwenu
Huko
Yaani Leo nyie Zamadamu wa Oldupai gorge mlioishi miaka millions
Leo mnadai mliumbwa na Mungu miaka 6000 BC hapo huoni kiroja hicho?
😁😁😁
 
Hakuna muujiza hapo wajinga tu ndio wanaoamini habari za kuumbwa na kiumbe anaitwa Mungu
wakati wa formation ya galaxy yetu ya Milkiway jua lilijikuta limekaa katika Habitable zone
Huo ukanda upo kwenye Kila Galaxies
Hii Dunia ikaangukia katika eneo hai yaani Sayari ya tatu Toka jua kimahesabu ukiipiga utaona ni eneo linalosapoti viumbe hai automatically Kwa nguvu za Asili na sio Dunia tu katika matrillion ya Galaxies Kuna habitable zone na Kuna Sayari zinasifa Sawa na Dunia mpaka Sasa wanasayansi wameigundua Moja
Kepler 452- B
Hiyo ipo umbali wa 4 light years kutoka duniani kiasi kwamba Kwa teknolojia yetu ya spacecraft hatuwezi ifikia
Hivyo mnavyokuja na nadharia za Dunia kuumbwa muwe mnaangalia upande wa pili Huku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…