Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

E Yesu ntamtaka kwa mamlaka yako na nguvu zako shusha juu ya MTU huyu Leo.Atambue uwepo wako na umponye
Sawa hakuna shida wewe kunitusi, Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli. Mmepewa mda tu,na tutaona mtakapo ishia.
 
Naungana na wewe ...


Hizi dini zimeletwa na watu ili kustaarabisha dunia ,na watu waweze kutawalika kwa urahisi ...

Wamisionari waliokuja kuitawala Africa ndio walileta mambo ya dini ,na lengo ilikuwa kutawala na kuchukua Mali na madini yaliyokuwa yamejaa ,waliona kwa kutumia nguvu itakuwa ngumu ...

Ndio maana bible inakuogopesha kufanga mabaya ,kuiba ,kuzin ,kutamani Mali za watu ....sijui Kuna ziwa la moto ...haya yote ni kufanya wewe uweze kutawalika na wachache weweze kula mema ya nchi huku wengine wakisota ....

Unafikili bila dini Kuna mtu angetawala dunia Wala nchi ,kila mtu angetaka kugawa Mali za nchi hii nusu kwa nusu kibabe ,hakuna huyu ni raisi anakula mishahara minono wa waziri ...lakini kwa vile tumeshalainishwa na dini basi hata tukipigwa Kofi la kushoto wanasema tugeuze na la kulia watuchape...

Kiufupi hakuna mbinguni Wala motoni ,Wala Nini ,ni mbinu za kuwatuliza watu hapa duniani waache ubaya na ukatili ili wajanja waendelee kutawala ...!

Hii dunia ili iweze kutawalika ilitakiwa dini na vitabu kama hivyo vya kuwatisha vianzishwe vinginevyo Mimi nisingeweza kukubali kuona watu Wana pesa Mimi nakufa na njaa lazima ningeenda kuiba na kukaba ,ila kwa vile Toka mwanzo walishanionya kuiba ni dhambi na nitachomwa moto naamua kuacha ...
 



Kama Mungu hayupo vipi mbona wale wanaomwamini wanatenda ishara maajabu na muujiza ambayo kibinadamu haiingii akilini
Hiyo inatosha kuthibitisha Yupo Mungu

Ukisema wanatumia nguvu za giza utakua waajabu kuamini uwepo wa shetani afu wa Mungu huuamini
 
Jua kwamba MUNGU yupo, lakini akiwa Ni mtu wa dini fulani mtilie mashaka kwakua dini zote niza uongo
 
Kichaa hata ukimuaminisha kwa ushahidi hawezi kuamini
Yaani kichaa umemwaminisha asubiri umemtuma mtu akamchukulie chakula akatulia na chakula kikafika haamini ya Kwamba hicho ni chakula haiwezekani katu,
Nahitaji uthibitisho wa Mungu hapa!
 
yaani kichaa umemwaminisha asubiri umemtuma mtu akamchukulie chakula akatulia na chakula kikafika haamini ya Kwamba hicho ni chakula haiwezekani katu,
Nahitaji uthibitisho wa Mungu hapa!
MUNGU wakweli haoneka ndugu yangu. Labda ujifunze historia ya kabila lenu kwanza nafkiri utaanza kujua kitu
 
Uzuri Mungu si app kwenye simu. Hata ukimkataa, hana hasara. Mungu si baba yako hata ujifanye unauliza maswali magumu. Unajifanya una maswali magumu kwa sababu wajivunia pumzi uliyonayo sasa. Utakapokuwa wakati pumzi hiyo, utajikojolea au kujinyea kwa hofu kuu, na hapo bado utakuwa hujakutana na huyo Mungu mkuu.
 
yaani Mungu hayupo Halafu siku nakata roho nimuwaze huo wendawazimu hakika hata siutajaribu kuufanya kama nature imeamua nife nitakua mwenye Furaha Sana maana hakuna kitu napoteza kama kabla sijawahi zaliwa hakuna kitu kilidhurika na nikifa hakuna kitu Cha kuharibika nitaacha mambo kama nilivyokuta
Hivyo vitisho hua naona Kama vituko vya John Reaver wa Bollywood!
😁😁😁😁
 
Kama Mungu hayupo vipi mbona wale wanaomwamini wanatenda ishara maajabu na muujiza ambayo kibinadamu haiingii akilini
Hiyo inatosha kuthibitisha Yupo Mungu

Ukisema wanatumia nguvu za giza utakua waajabu kuamini uwepo wa shetani afu wa Mungu huuamini
Ni illusion tu ndio inayotenda hayo mambo.
Maajabu kama ya hawa manabiiπŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Kwanini sisi afrika mfano Tanzania hatuna maendeleo kama ya waarabu ambao ni watu walioshika dini kuliko hata sisi hadi wanauwana wao kwa wao?
Sisi tunakosea wapi?
 
Kwa hiyo unataka kusema ni Baba yako au mjomba wako aliyetengeneza hii dunia na kuwatengeneza wanyama, miti, mito maziwa na vitu vingi vilivyomo
Bado unataka aje uonane naye? Daah!
 
dark ages ni nini? na dark ages ilitokea kipindi gani au karine ipi ilitokea?. je dark ages na maswala ya kiimani ni kipi kilitangulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…