Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

Hao zamadamu walitokea wapi? a de novo synthesis, siyo? au miamba ilipasuka paaaaaaaaaaaa kiumbe kikatokea, waabudu shetani mna shida sana.....😀
Yaani unauliza zamadamu walitoka wapi?
Hebu nenda Kasome kwanza mwanzo wa Babu zako waliokua Zamadamu na Primitive pale Oldupai uone kama waliumbwa na huyo Mungu wenu,
Yaani viumbe waliokuwepo millions ya miaka wakaja fanyiwa cloning project na Annunaki zaidi ya miaka 30,000 hapo nyuma na kuanza ustaarabu kama Homo sapiens kamili ndio aliumbwa na Mungu?😂
Kina ANNUNAK na wenzao Leo wamekua Mungu mkuu aliyeumba ulimwengu hivi mna Akili nyinyi hapo ulipo Hata nadharia na ideas za huyo Mungu hujui zilianzia wapi Hata hizo Abrahamic religion hujui chanzo chake Halafu uje hapa unambie
Nyee nyee nyee Mungu,Mungu
Huyo Mungu hayupo hajawahi kuwepo na hatakuja kuwepo kamwe ni Ujinga tu wa watu Kama nyie ndio manaamini mpaka Leo hizo nadharia Uchwara!
😁😁😁
 
View attachment 2099557
Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu.

Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo.

Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu.

Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi wa Mungu.

Waislamu kwa kitabu chao watakuthibutishia uwepo wake, Wahindu, Wabudha, Waktisto n.k watakuthibutishia uwepo wa Mungu kwa maandiko na hadithi tu ila hawataweza kukuthibitishia kwa njia nyingine ya reality.

Kwa taabu wanazopata watu duniani ni kama nature ndio inatawala.

Haiwezekani Mungu ambaye wanasema aliupenda ulimwengu aruhusu vita, ubakaji, kuchinjana, kudhulumiana, ufukara, njaa n.k huku hivyo vitu ni vidogo kwake angevikomesha ndani ya sekunde.

Je, Mungu kazidiwa utu na upendo na mwanadamu?

Hii amani na hali ya maendeleo tunayoiona ni fikra na utu wa binadamu kwa ulimwengu.

Binadamu anaunda mabaraza ya kitaifa kupambana na majanga mbalimbali, pasipo na haya mabaraza Dunia isingekalika kabisa kwa idadi hii ya watu ilivyo kwa sasa.

Illusion ndizo zinatawala watu ndio maana kila dini na dhehebu wanajiona kuwa wako sahihi na wana ushahidi kuwa dhehebu lao ndilo sahihi mbele za Mungu na wao tu ndio wataingia mbinguni au peponi.
View attachment 2099556
Endelea kuchanganyikiwa!
 
Yaani unauliza zamadamu walitoka wapi?
Hebu nenda Kasome kwanza mwanzo wa Babu zako waliokua Zamadamu na Primitive pale Oldupai uone kama waliumbwa na huyo Mungu wenu,
Yaani viumbe waliokuwepo millions ya miaka wakaja fanyiwa cloning project na Annunaki zaidi ya miaka 30,000 hapo nyuma na kuanza ustaarabu kama Homo sapiens kamili ndio aliumbwa na Mungu?😂
Kina ANNUNAK na wenzao Leo wamekua Mungu mkuu aliyeumba ulimwengu hivi mna Akili nyinyi hapo ulipo Hata nadharia na ideas za huyo Mungu hujui zilianzia wapi Hata hizo Abrahamic religion hujui chanzo chake Halafu uje hapa unambie
Nyee nyee nyee Mungu,Mungu
Huyo Mungu hayupo hajawahi kuwepo na hatakuja kuwepo kamwe ni Ujinga tu wa watu Kama nyie ndio manaamini mpaka Leo hizo nadharia Uchwara!
😁😁😁
Kumbe uumbaji ulifanywa na baba yenu ibilisi, siyo? ni swala la muda utaiona nguvu ya Muumba........au kama unabisha nimwite ajidhihirishe kwako sasa hivi.
 
swali la kipuuzi sana hujui uhai una maana Pana,uhai hauhusishi viumbe hai tu Bali mfumo Wote wa galaxy yetu ni hai na sisi tupo Habitable zone sehemu ambayo inasapoti uhai Kwa viumbe automatically
Hivyo kama huyo Mungu yupo na ni kiumbe hai basi atakua sehemu ndogo sana katika mfumo na Hana ubavu wa kuumba chochote Labda kama ni mmoja wa Alliens aliyepandikiza uhai pahali ila kusema ndie aliyefanya formation ya Big bang ni Uwendawazimu mkuu!
Hivyo ulivyotaja asili yake ni nini?
 
Wale mnaokana uwezo na mamlaka ya Mungu Mwenyezi, ninamwita sasa Mungu Mwenyezi Muumba wa Mbingu na Ulimwengu ajidhihirishe kwenu, msiache kutuletea mrejesho kwa jinsi tofauti tofauti ambazo Bwana Mungu wa Majeshi kajidhihirisha kwenu.......AMEN.
 
toa ushahidi basi alisema wapi hayo maneno
Tuwekee ushahidi hayo ya kwenu yalisemwa wapi na nani? BTW nimeshamwomba Mungu Mwenyezi ajidhihirishe kwenu, hivyo sitaendelea na huu mjadala, badala yake ninasubiri mrejesho kutoka kwenu kujua namna Mungu alivojidhihirisha kwenu kwa jinsi tofauti tofauti....
 
Kumbe uumbaji ulifanywa na baba yenu ibilisi, siyo? ni swala la muda utaiona nguvu ya Muumba........au kama unabisha nimwite ajidhihirishe kwako sasa hivi.
Ushageuka kioja Sasa,nahisi ushapata ugonjwa wa kukupeleka milembe hivyo vitu unavyodai unaviitisha Hata haviji aisee ni unajifariji na kujidanganya TU!
😂😂😂😂
 
Wale mnaokana uwezo na mamlaka ya Mungu Mwenyezi, ninamwita sasa Mungu Mwenyezi Muumba wa Mbingu na Ulimwengu ajidhihirishe kwenu, msiache kutuletea mrejesho kwa jinsi tofauti tofauti ambazo Bwana Mungu wa Majeshi kajidhihirisha kwenu.......AMEN.
Hallelujah ama kweli wewe ni Nabii wa Mungu huwezi amini now nimefunuliwa ya kwamba wewe Nyumisi umeinuliwa pahali pa juu Sana pale MILEMBE na umekua kiongozi wa wendawazimu Wote
Wanaoamini Kuna Mungu muweza wa yote mwenye ujuzi na maarifa yote aliyemuumba binadamu mwenye Njaa Ili amwabudu na kumtukuza milele Amina na wale watakaokaidi Kwa kushindwa kuabudu na kufuata matakwa Yake sababu ya kuhaingaika kutafuta chochote kufeed njaa zao atawachoma moto wa milele!

Hizo ndio nadharia za wafia dini kama wewe Nyumisi daaa pole aisee mmepigwaaaaaa
😁😁😁😁😁
 
Na mimi nakuita wewe ni MJINGA. Unakataa ?
Hivi unafikiri nina huo uwezo wa kukupangia cha kuandika?

Kivyovyote vile utavyo amua kuniita, hiyo ni personal perpective siwezi kukuzuia wewe kuona hivyo
 
Nakupa miaka kumi ukikosoa nilicho kiandika naacha kutumia hii ID.

Hakuna mjinga anae weza kuandika hiki nilicbokiandika. Sababu nilianza kusoma kwanza na kuelewa kabla ya kuandika.

Naona mada imekushinda kijana.
Kama hakuna, mbona we umeweza?
 
Hii mada ni kwa vile nimeikuta imechafuka ningeiwahi mapema asingeruka mtu.
 
Hivi unafikiri nina huo uwezo wa kukupangia cha kuandika?

Kivyovyote vile utavyo amua kuniita, hiyo ni personal perpective siwezi kukuzuia wewe kuona hivyo
Jibu swali.
 
Back
Top Bottom