Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Ni kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani.
Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni wale ndege john (wale ndege wakubwa wanaoshinda kwenye maji kutwa kucha).
Nimeniweka picha hapo chini wazoefu mseme chochote.