Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
- Thread starter
- #81
ukiskizia kwa mbaali kama inakuja hivi si unajua yule pia ni ndegeRadha ipoje mkuu
ukiskizia kwa mbaali kama inakuja hivi si unajua yule pia ni ndegeRadha ipoje mkuu
daah itabidi iwe ivi aiseeSafari ndefu huwa nabeba bites, apples and matunda mengine plus juice nikishuka jua naenda jinyoosha mwili tu.. nilipigwa tukio sijawahi kula kwenye hotel yoyote tena
Huwa najiandaa kabisa, unajipa nafasi kujinunulia vyakula (bites) usipate shida kuliko kusafiri kimazoea, nashukuru wazazi pia walitufundisha hivyo. Mziki, movies not get bored na safari.daah itabidi iwe ivi aisee
kula acha uoga uyo ni bata mzinga aka turkey bird ni nyama ya heshima sana aswa USNi kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani.
Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni wale ndege john (wale ndege wakubwa wanaoshinda kwenye maji kutwa kucha).
Nimeniweka picha hapo chini wazoefu mseme chochote.
View attachment 3324827
View attachment 3324828
View attachment 3324829
View attachment 3324830
View attachment 3324831
View attachment 3326407
🙆♂️uyo lazma atakuwa mnyaki au msukuma wanang'ata misosi ao watu daahNilishakaa na dada mmoja akasema wewe kaka sio kwa kujipendela hivyo nilimjibu kawaida tu
Vipi ladha yake ipoje mkuu😁😁Ni kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani.
Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni wale ndege john (wale ndege wakubwa wanaoshinda kwenye maji kutwa kucha).
Nimeniweka picha hapo chini wazoefu mseme chochote.
View attachment 3324827
View attachment 3324828
View attachment 3324829
View attachment 3324830
View attachment 3324831
View attachment 3326407
Watu tumekula bundi na mayai yakeNi kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani.
Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni wale ndege john (wale ndege wakubwa wanaoshinda kwenye maji kutwa kucha).
Nimeniweka picha hapo chini wazoefu mseme chochote.
View attachment 3324827
View attachment 3324828
View attachment 3324829
View attachment 3324830
View attachment 3324831
View attachment 3326407
Hii sio dege John
Basi amini kwamba ulikula kuku kule njombe kuna kuku wanapaja kama msuri wa mandonga wanakilo 5had 8 wapo pale missionukiskizia kwa mbaali kama inakuja hivi si unajua yule pia ni ndege
Tupo hapa kwa ajili yako na kila utakapokula kwetu ndivyo tutakavyokuongezea vyuku.
Unakula unamaliza afu ndio unaanza kuuliza umekula nini?Ni kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani.
Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni wale ndege john (wale ndege wakubwa wanaoshinda kwenye maji kutwa kucha).
Nimeniweka picha hapo chini wazoefu mseme chochote.
View attachment 3324827
View attachment 3324828
View attachment 3324829
View attachment 3324830
View attachment 3324831
View attachment 3326407
Ha ha vinyawawa na vikonaHuwa mnatulingishia sisi ambao huwa hatuna pesa ya kula njiani nyie mnateremka mnakuja na mibahasha ya kaki mnavyakula vinanukia hadi raha kumbe mnakula vinyawawa 😂😂😂😂
ilikuwa usiku mwingi kiongozi kama unavoona izo picha. ilikuwa ngumu kujua kwa uhakika unachokula ni kitu gani hasaUnakula unamaliza afu ndio unaanza kuuliza umekula nini?
ekzactle (kwa sauti ya magu😊)Ukila unasikia radha kama ya muhindi wa kuchoma
mkuu nani hao vinyawawamnavyakula vinanukia hadi raha kumbe mnakula vinyawawa