Tupe utaalam wako mkuu, bundi ulikuwa unawapataje ukiwa kwa bibi?Mimi nikiwa kijijini mashambani kwa bibi tumekula sana bundi na ni watamu kuku haoni ndani.
Hawa ndege wa polini ni watamu sana kutokana na kuwa wanakula vitu natural na hawatumii madawa sema mind set zetu zimekalili vibaya tu.
Mashambani wako wengi sana mkuu!..Tupe utaalam wako mkuu, bundi ulikuwa unawapataje ukiwa kwa bibi?
No huyo ni kuku chotara,sio ndege johnNi kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani.
Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni wale ndege john (wale ndege wakubwa wanaoshinda kwenye maji kutwa kucha).
Nimeniweka picha hapo chini wazoefu mseme chochote.
View attachment 3324827
View attachment 3324828
View attachment 3324829
View attachment 3324830
View attachment 3324831
daah hii mbona ngumu kumeza. bundi?Mimi nikiwa kijijini mashambani kwa bibi tumekula sana bundi na ni watamu kuku haoni ndani.
Hawa ndege wa polini ni watamu sana kutokana na kuwa wanakula vitu natural na hawatumii madawa sema mind set zetu zimekalili vibaya tu.
kiongozi mbona ivo? nahitaji faraja yako sana kwa sasa.Ushazoea kuku wa kizungu ..Ila hiyo miguu imekomaa atakuwa ni Mwewe.
Je, Kuna madhara yeyote umepata baada ya kula kitoweo tajwa!?? Haukushiba labda!??mkuu usicheke tianeno ,,huyo ni kuku kweli unavyoona au nimepigwa?
Wanalika ila shombo lake sasa.Lakini s
Lakini si ni watamu?
kivipi mkuu? unalishwa kitu cha hovyo unatulia tu?Kama ni tamu wewe vunga tu
mkuu hao wote ndo ndege john wenyewe. unapewa uongo wa apa na pale ila ukweli ndo uo. haujiulizi toka lini tumeweza kunenepesha kuku akafikia ukubwa huo na kama kuna ukweli kwanini iwe ni mkoa huo tu na sio mikoa mingine?Kuna stesheni moja ya reli ya kati inaitwa Saranda, pale treni husimama kwa muda mrefu sana. Kuna nyama za kuku kwa wingi sana kuliko stesheni zote. Ishu inakuja hao kuku wengi kiasi hicho ni kuku wote au wengine ni ndege wa porini? Pale utajilia kuku tani yako kwa bei nafuu
Haahaa kuchi mbna wanajulikana tu kiongozi, kwanza kuchi ni ghali kuliko uyo kuku mwenyeweLabda umekula kuchi jamani wana miguu mirefu kama wamevaa kaptura..