Ndege jhon sio kitu cha hovyo mkuukivipi mkuu? unalishwa kitu cha hovyo unatulia tu?
Ndege jhon sio kitu cha hovyo mkuukivipi mkuu? unalishwa kitu cha hovyo unatulia tu?
Kumbe kuna uwezekano kweli atakuwa kala ndege JoniHaahaa kuchi mbna wanajulikana tu kiongozi, kwanza kuchi ni ghali kuliko uyo kuku mwenyewe
Sasa ulitaka iishe kabla ya kushiba! Sisi hatupendi kumpunja mteja wetu, tutakuuzia kuku ule ushibe.daah itakuwa ni haohao aisee mm nilishtuka bdae sana wkt nakula nashangaa huyu kuku gani nakula tu lakini nyama haiishi tu
HaahaaaSasa ulitaka iishe kabla ya kushiba! Sisi hatupendi kumpunja mteja wetu, tutakuuzia kuku ule ushibe.
Kuku jogoo kienyeji i. e hustler chickenNi kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani.
Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni wale ndege john (wale ndege wakubwa wanaoshinda kwenye maji kutwa kucha).
Nimeniweka picha hapo chini wazoefu mseme chochote.
View attachment 3324827
View attachment 3324828
View attachment 3324829
View attachment 3324830
View attachment 3324831
unaijua ladha ya kuku wa kienyeji wewe? acha kabisa.hustler chicken
..ni njema sana, haihitaji ukarabati wa mapishiunaijua ladha ya kuku wa kienyeji wewe? acha kabisa.
😳Sasa ulitaka iishe kabla ya kushiba! Sisi hatupendi kumpunja mteja wetu, tutakuuzia kuku ule ushibe.
wale unachemsha bila kuweka mafuta wala viungo unaweka na ugali hapo pembeni imeenda iyo..ni njema sana, haihitaji ukarabati wa mapishi
..unyama ni ka chumvi tu!wale unachemsha bila kuweka mafuta wala viungo unaweka na ugali hapo pembeni imeenda iyo
Too personal😂😂Huwa mnatulingishia sisi ambao huwa hatuna pesa ya kula njiani nyie mnateremka mnakuja na mibahasha ya kaki mnavyakula vinanukia hadi raha kumbe mnakula vinyawawa 😂😂😂😂
Sio vya Balwe Mkuu?!😅Huwa mnatulingishia sisi ambao huwa hatuna pesa ya kula njiani nyie mnateremka mnakuja na mibahasha ya kaki mnavyakula vinanukia hadi raha kumbe mnakula vinyawawa 😂😂😂😂
Radha ipoje mkuuNi kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani.