Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
mkuu usicheke tianeno ,,huyo ni kuku kweli unavyoona au nimepigwa?Wewe kula tu usiulize ulize , ukila nyama utapewa hata ya nyani 😂😂😂😂
Umepigwa mchana kweupe, 😂😂😂 halafu manyoa na vichwa havionekanagi kabisa sijui wanatupiaga wapi hata pistol huzioni, ,😃😄maana ukiona mguu utajua Tu huyu kuku na huyu ni 😂😂😂.mkuu usicheke tianeno ,,huyo ni kuku kweli unavyoona au nimepigwa?
Chalinze pembeni pale ni miaka 30 imepita.Ni kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani.
Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni wale ndege john (wale ndege wakubwa wanaoshinda kwenye maji kutwa kucha).
Nimeniweka picha hapo chini wazoefu mseme chochote.
View attachment 3324827
View attachment 3324828
View attachment 3324829
View attachment 3324830
View attachment 3324831
washenzi sana hawa jamaa qmme zao wanatulisha uchafu tuUmepigwa mchana kweupe, 😂😂😂 halafu manyoa na vichwa havionekanagi kabisa sijui wanatupiaga wapi hata pistol huzioni, ,😃😄maana ukiona mguu utajua Tu huyu kuku na huyu ni 😂😂😂.
Kula ili mradi sio sumu mkuu 😃😃
daah itakuwa ni haohao aisee mm nilishtuka bdae sana wkt nakula nashangaa huyu kuku gani nakula tu lakini nyama haiishi tuChalinze pembeni pale ni miaka 30 imepita.
Tulienda kula nikakuta hao kuku wanasema wa kienyeji.
Ilo paja ukiangalia ni hiyo mikangaroo.
Nilitapika njia nzima.
Kuna bwawa hapo wanapatikana wengi sana
Ukita kula usiulize ulizewashenzi sana hawa jamaa qmme zao wanatulisha uchafu tu
daah hlf ilikuwa safari ya usiku mwingi wanajua abiria na zile pilikapilika hawawez kuwashtukia...nyambaf kabisa wale jamaaUkita kula usiulize ulize
ndege JOHN ameshaliwa😎
hata ngozi zao tofauti ya kuku inavipele vidogo vingi hawa wako plain🤮🤮Ilo paja ukiangalia ni hiyo mikangaroo
Funzo kubwa sana aisee🙆♂️🙆♂️Lifanye lililokukuta kama funzo
Hapo mitihani lazima ule Tu vimeza nyoka, yaani mie naonaga afadhali kula samaki kama wapodaah hlf ilikuwa safari ya usiku mwingi wanajua abiria na zile pilikapilika hawawez kuwashtukia...nyambaf kabisa wale jamaa