Nimegeuzwa fursa? - nimeuziwa ndege John badala ya kuku?

Mkuu umekula umeliza ndio unampiga picha na umejua mapema kuwa unamtafuna ndege John.
 
Saafarini tunakula biscuits na maji au juis tuu.... wasukuma kila mdaaa mnatala heavy food.. kulaaa sumu hzooo
 
Piga kitu hicho mwanangu acha uoga.
 
Kama ni tamu na haikuui wala hujatapika, tatizo ni nini?
 
Kula upate afya, haidhuru, mbona ndege john ni chakula kizuri tu. Watu wanakula mwewe, kipanga sembuse ndege john aliye mtamu?
 
Ushazoea kuku wa kizungu ..Ila hiyo miguu imekomaa atakuwa ni Mwewe.
 
Kula upate afya, haidhuru, mbona ndege john ni chakula kizuri tu. Watu wanakula mwewe, kipanga sembuse ndege john aliye mtamu?
Mimi nikiwa kijijini mashambani kwa bibi tumekula sana bundi na ni watamu kuku haoni ndani.
Hawa ndege wa polini ni watamu sana kutokana na kuwa wanakula vitu natural na hawatumii madawa sema mind set zetu zimekalili vibaya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…