Nimegeuzwa fursa? - nimeuziwa ndege John badala ya kuku?

Kuku jogoo kienyeji i. e hustler chicken
 
Huwa mnatulingishia sisi ambao huwa hatuna pesa ya kula njiani nyie mnateremka mnakuja na mibahasha ya kaki mnavyakula vinanukia hadi raha kumbe mnakula vinyawawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio vya Balwe Mkuu?!πŸ˜…
 
Radha ipoje mkuu
 
Mwamba wasikutishe bana huyo sio ndege Joni bali umekula Stork Marabou
Chicken is bird, Ndege Joni bird too, so don't worry you ate BIRD 🀣🀣🀣
 
Safari ndefu huwa nabeba bites, apples and matunda mengine plus juice nikishuka jua naenda jinyoosha mwili tu.. nilipigwa tukio sijawahi kula kwenye hotel yoyote tena

Toka nimepigwa mbuzi na tumbo kuuma karibia kushindwa tembea nikasumbua vyoo vya wanavijiji Mwanga pale Kindoroko milimani kule nilikoma, sijui walinipa nini wale asee hotel ile dah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…