Nimegeuzwa fursa? - nimeuziwa ndege John badala ya kuku?

Safari ndefu huwa nabeba bites, apples and matunda mengine plus juice nikishuka jua naenda jinyoosha mwili tu.. nilipigwa tukio sijawahi kula kwenye hotel yoyote tena
daah itabidi iwe ivi aisee
 
daah itabidi iwe ivi aisee
Huwa najiandaa kabisa, unajipa nafasi kujinunulia vyakula (bites) usipate shida kuliko kusafiri kimazoea, nashukuru wazazi pia walitufundisha hivyo. Mziki, movies not get bored na safari.

Nilishakaa na dada mmoja akasema wewe kaka sio kwa kujipendela hivyo nilimjibu kawaida tu, maana alikuwa anahangaika chakula kibaya 🀣
Jaribu mkuu uone raha yake.
Utanikumbuka (jpm) 🀣
 
kula acha uoga uyo ni bata mzinga aka turkey bird ni nyama ya heshima sana aswa US
 
Nilishakaa na dada mmoja akasema wewe kaka sio kwa kujipendela hivyo nilimjibu kawaida tu
πŸ™†β€β™‚οΈuyo lazma atakuwa mnyaki au msukuma wanang'ata misosi ao watu daah
 
Vipi ladha yake ipoje mkuu😁😁
 
Unaposafiri epuka kula hovyo.
Biscuit maalum au hata za kawaida na juice ( na ule kiasi kidogo tu) pia tende zinafaa.
Na usinywe maji mengi yatakayokunyima raha kwa haja ndogo kila mara.

Wasukuma wenzangu ( japo siyo wote) mnapenda sana kula kila kituo cha basi.

Jifunze nidhamu na ujipende. Ulaji wa hovyo nachukia sana.
 
Watu tumekula bundi na mayai yake
 
ukiskizia kwa mbaali kama inakuja hivi si unajua yule pia ni ndege
Basi amini kwamba ulikula kuku kule njombe kuna kuku wanapaja kama msuri wa mandonga wanakilo 5had 8 wapo pale mission
 
Unakula unamaliza afu ndio unaanza kuuliza umekula nini?
 
Unakula unamaliza afu ndio unaanza kuuliza umekula nini?
ilikuwa usiku mwingi kiongozi kama unavoona izo picha. ilikuwa ngumu kujua kwa uhakika unachokula ni kitu gani hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…